Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

Amesema ni mwanafunzi wake lakini hakusema kwa ngazi gani?labda chuo kikuu kama Kangi amewahi kusoma huko.
 
Mnasahau kwamba Mkwawa ilikuwa inaitwa Mkwawa the complex ? Mwanafunzi alikuwa akimaliza form IV akiingia hapo anasoma miaka mitatu anapata Diploma ya ualimu. Hapo ndipo alisoma JPM.
Magu siyo wa upe. Alimaliza Six mwaka 1981 .Mwaka huo huo akaanza chuo mkwawa. Najiuliza Dilpoma ya ualimu ilikuwa miaka mingapi ? Maana Kangi nae kaanza form one 1981 akamaliza 1984.
Pia kwa upande wa Magu kamaliza six Mkwawa high school na kusoma diploma hapo hapo.
Ina maana mkwawa ilikuwa secondary pia ilikuwa chuo cha diploma Ualimu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangazwa sana na maneno ya Rais Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Rais Magufuli na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu

sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari

Nimeangalia kwenye tovuti ya bunge kuwa Lugola alisoma sengerema secondary kuanzia mwaka 1981-1984 labda uchunguzi rasmi uanzie hapo kuangalia wakati huo mkemia Magu alikuwa anapiga mzigo wapi
Hivi hilo swali lina tija yeyote hapa
 
Back
Top Bottom