Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

Ilinikuta kipindi nipo shule, nilipanda juu ya dawati na kukata mauno vibaya mno! Kumbe ticha katulia nje dirishani ananicheki tu! alipoingia ndani nilichupa fasta na kukaa chini. Kwa upole tu alikuja kunichukua na kunipeleka kwa headmaster, headmaster akataka kunigonga muhuri kwenye tacore

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Ujasiri huo mnao wachache.
 
Magu siyo wa upe. Alimaliza Six mwaka 1981 .Mwaka huo huo akaanza chuo mkwawa. Najiuliza Dilpoma ya ualimu ilikuwa miaka mingapi ? Maana Kangi nae kaanza form one 1981 akamaliza 1984.
Pia kwa upande wa Magu kamaliza six Mkwawa high school na kusoma diploma hapo hapo.
Ina maana mkwawa ilikuwa secondary pia ilikuwa chuo cha diploma Ualimu ?
Ungeongea kwa mfululizo mzuri ungeona kuwa magu alimfundisha lugora. Ila umejichamgamya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangazwa sana na maneno ya Rais Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Rais Magufuli na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu

sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari

Nimeangalia kwenye tovuti ya bunge kuwa Lugola alisoma sengerema secondary kuanzia mwaka 1981-1984 labda uchunguzi rasmi uanzie hapo kuangalia wakati huo mkemia Magu alikuwa anapiga mzigo wapi
Kama alisoma sekondari mwaka huo kufundishwa na JP ni sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anamiliki mabasi yameandikwa kangitrans yanaenda mwibara kama aliwatibua polisi ajiandae kuchezea Vyeti.Masha alilazwa Sana ndani na polisi,ukiwa na nafasi au madaraka yafaa Sana usiwadharau polisi ili hata siku ukitumbuliwa hawana kisasi nawe.
 
Nimeangalia kwenye tovuti ya bunge kuwa Lugola alisoma sengerema secondary kuanzia mwaka 1981-1984 labda uchunguzi rasmi uanzie hapo kuangalia wakati huo mkemia Magu alikuwa anapiga mzigo wapi
Mkemia alianza Mkwawa 1981.Hapa siju Diploma ya ualimu walikuwa wanapiga miaka mingapi. Ila naanza kuamini kuwa alimfundisha.
 
Ni kweli alimfundisha aisee. Kangi alianza form one na 18 yrs. Nimeangalia kwenye website ya Bunge. 1981 Kangi alianza form one. 1981 Magu Magu alianza Diploma ya ualimu.
Uhakiki muhimu, tusije kuingizwa chaka.

Mtu anayeanza form one na miaka 18 ubongo ushaanza kuwaza wanawake hapo napo kuna tatizo.
 
Back
Top Bottom