Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

Mkuu hii bado sijaelewa,ina maana alisoma chato primary kwa miaka 9? Na secondary mwaka mmoja?(hapa hujasema kama Ni O-level au A -level)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hii habari nimeikuta BBC Swahili
Primary wameweka hadi 1967 -1975
Sekondari 1977-78

Wikipedia wametuwekea hii hapa.
Primary 1967-1974
Sec Katoke seminary 1975 -1977 akafukuzwa
Lake 1977 -1978.

Wanakwepa kuweka Katoke sec

John Joseph Magufuli started his education at The Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to The Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and graduating in 1978. He joined Mkwawa High School for his Advanced level studies in 1979 and graduated in 1981. That same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education Science, majoring in Chemistry, Mathematics and Education.[3
 
Magu siyo wa upe. Alimaliza Six mwaka 1981 .Mwaka huo huo akaanza chuo mkwawa. Najiuliza Dilpoma ya ualimu ilikuwa miaka mingapi ? Maana Kangi nae kaanza form one 1981 akamaliza 1984.
Pia kwa upande wa Magu kamaliza six Mkwawa high school na kusoma diploma hapo hapo.
Ina maana mkwawa ilikuwa secondary pia ilikuwa chuo cha diploma Ualimu ?
 
Kwa matendo yake lugola anaonekana alikuwa slow learner sanaaa darasani kwa maana haiwezekani yeye kila kukicha anatembea na ilani ya chama cha ccm
tapatalk_jpeg_1579164114166.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe yale mauno alikuwa anakata mbele ya mwl wake. Kuna wanafunzi majasiri sana.

Inaonekana Rais anamjua vyema huyu Kangi.
Ilinikuta kipindi nipo shule, nilipanda juu ya dawati na kukata mauno vibaya mno! Kumbe ticha katulia nje dirishani ananicheki tu! alipoingia ndani nilichupa fasta na kukaa chini. Kwa upole tu alikuja kunichukua na kunipeleka kwa headmaster, headmaster akataka kunigonga muhuri kwenye tacore

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Magu siyo wa upe. Alimaliza Six mwaka 1981 .Mwaka huo huo akaanza chuo mkwawa. Najiuliza Dilpoma ya ualimu ilikuwa miaka mingapi ? Maana Kangi nae kaanza form one 1981 akamaliza 1984.
Pia kwa upande wa Magu kamaliza six Mkwawa high school na kusoma diploma hapo hapo.
Ina maana mkwawa ilikuwa secondary pia ilikuwa chuo cha diploma Ualimu ?
Ndiyo, kipindi hicho walisoma Advance huku wakichukua masomo ya ualimu at the same! Tafuta historia ya mkwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona inawezekana kabisa. Ina maana wanapishana miaka 4. Hivyo JPM alioomaliza F6 akaenda kufundisha alimkuta Lugora F3 au F4. Sii ajabu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani miaka ya 1970-1995 kabla ya Voda faster ya kufaurisha wanafunzi wengi, watu wengi walikuwa wanarudia darasa ya saba hata mara tano ndo anafauru kwenda secondary, utakuta mtu anaanza form one tayari anafamilia nyumbani mke na watoto hivyo Kangi inawezekana kabisa hakuzaliwa 1963, inaweza Kuwa 1958 or 1960, zamani watu walikuwa hawatowi umri sahihi kuendelea kurudi darasa la saba.
 
Back
Top Bottom