Wakuu naomba msaada, Lengo nataka kufungua kampuni ya kusupply vifaa vya ujenzi

Geofrey muyenzi

New Member
Jul 10, 2015
1
2
Wakuu naomba msaada, Lengo nataka kufungua kampuni ya kusupply vifaa vya ujenzi na baadae mtaji ukiongezeka niongeze kufanya building and construction.
Naomba msaada maana nataka kufanya usajili.
Je naweza kufungua General halafu nikaanza kimoja halafu building and construction itakuja kufanyika baadae
Au nianze kimoja yaani supplies ambayo nataka Nina uwezo wa kuanza kwasasa halafu baadae kuhusu hii ya Building and construction itakuaje ili niifanye pamoja na hii.
Msaada wenu wakuu
Na Mungu awabariki kwa msaada wenu
 
yes ,fungua kampuni brela ,kwenye memorandaum utalist vitu vyote unavotaka kufanyia kazi mbeleni. utaenda tra utawambia unavyotaka anza navyo. utapewa tax clearance ukakate leseni kwa hivyo ulivowaambia TRA......ukiimarika nenda crb ,utapewa utaratibu kujisajili kama civil na building contractor . utarudi tra ,kuwaambia ,utapewa tax clerance utapata leseni .....kazi kwako.....ukipata kazi nipe sub mkuu.
 
Wakuu naomba msaada, Lengo nataka kufungua kampuni ya kusupply vifaa vya ujenzi na baadae mtaji ukiongezeka niongeze kufanya building and construction.
Naomba msaada maana nataka kufanya usajili.
Je naweza kufungua General halafu nikaanza kimoja halafu building and construction itakuja kufanyika baadae
Au nianze kimoja yaani supplies ambayo nataka Nina uwezo wa kuanza kwasasa halafu baadae kuhusu hii ya Building and construction itakuaje ili niifanye pamoja na hii.
Msaada wenu wakuu
Na Mungu awabariki kwa msaada wenu
Kama una mtaji anza vyote,moja uwe na msaidizi ila njoo Dodoma ndo fursa na pagale linauzwa la kumalizia nicheki 0767358936.
 
Wakuu naomba msaada, Lengo nataka kufungua kampuni ya kusupply vifaa vya ujenzi na baadae mtaji ukiongezeka niongeze kufanya building and construction.
Naomba msaada maana nataka kufanya usajili.
Je naweza kufungua General halafu nikaanza kimoja halafu building and construction itakuja kufanyika baadae
Au nianze kimoja yaani supplies ambayo nataka Nina uwezo wa kuanza kwasasa halafu baadae kuhusu hii ya Building and construction itakuaje ili niifanye pamoja na hii.
Msaada wenu wakuu
Na Mungu awabariki kwa msaada wenu
Utakapoanza building and construction mkuu usisite kutupa na sisi ridhiki niko nasomea quantity surveying and construction economics pale Aru
 
Back
Top Bottom