nakwede97
Member
- Aug 9, 2021
- 40
- 52
Wana JamiiForums,
Naomba ushauri wa hili jambo langu nimejiokoteza kwenye shughuli zangu nikajipatia sh 4million nikaona nianze ujenzi.
Kiwanja ninacho ambacho ni mita 15 Kwa mita 10 nataka kutumia tofali za kuchoma naomba wenye uzoefu wa hizi mambo anipe maelekezo ya hela yangu na kiwanja itafukisha wap hii nyumba au patakua na kasoro bila kusahau nipo Morogoro.