kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,460
- 4,167
Habari zenu?
Hawa Asa microfinance mwezi uliopita walitangaza nafasi za kazi mbalimbali, mimi nilikua ni miongoni mwa wengi tulioapply.
Sasa wamenipigia na kunitumia ujumbe kuwa siku ya jumatatu kutakua na usaili wa nafasi ya uhasibu ofisini kwao kinondoni.
Sasa ningependa kupata dondoo kuwahusu hasa aina ya maswali yao wanayouliza kwa nafasi ya uhasibu na pia mshahara wao na benefits zingine.
Ni hayo tu kwa sasa.