ASA Microfinance yatia fora kwa unyanyasaji wa kingono

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu, kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Kwanza naomba nieleze kwamba, taarifa ninazozitoa hapa ni za uhakika maana nimepewa na mtu wa uhakika kabisa ndani ya ASA MICROFINANCE. Nitajitahidi sana kuandika kwa ufupi ili tusichoshane katika usomaji.

Kampuni hii inajihusisha na kutoa mikopo midogo midogo na ya kati kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati. Pia ni moja ya kampuni iliyoajiri vijana wengi wa Kitanzania. Kwa hilo ninawapongeza sana.

Pamoja mazuri hayo, kampuni hii imekuwa na kashfa mbali mbali za kuwatesa wafanyakazi wa daraja la chini (Loan Officers). Kuna matukio nimewahi kuyasikia kipindi cha nyuma kuwa wanakuwa treated unfairly, wanaweza kusingiziwa kosa na kuwa fired. Wakianzisha biashara zao binafsi na kampuni ikijua, inawahamisha unfairly au kuwatuhumu wanatumia muda wa ofisini kufanya kazi zao binafsi na wanawahamisha kituo cha kazi au kuwafukuza. Hata tu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi mwenzio ni issue, inabidi uandike barua ofisini kuwajulisha kuwa upo kwenye mahusiano na mfanyakazi mwenzio pale mnapofikia stage au maamuzi ya kutaka kuoana.

Hayo siyo hoja ya leo, Tuzungumze kuhusu kichwa cha habari. Hii kampuni imekua ikinyanyasa sana wafanyakazi wa chini kingono. Kimsingi ktk kila branch ya hiyo kampuni, kunakuwa na mdada ambaye ameajiriwa kwa ajili ya kupika, kufanya usafi na domestic activities za Branch. Vyeo vingi vya kati kwenda juu ktk kampuni hii wanakuwa ni wahindi. Sasa hawa wahindi ndio wanaofanya UNYANYASAJI wa KINGONO kwa wale mabinti wanaokuwa wanafanya usafi branch.

Mabinti hawa wanakuwa wanalazimishwa kufanya Mapenzi na hao wahindi na wanakuwa wanapewa presha sana na wanatoa mzigo bila idhini yao. Na wengi wanakua hawana jinsi, wanatoa mzigo bila idhini kwa kuogopa kufukuzwa kazi.

Kimsingi hizo kesi zimewahi kutokea mara nyingi. Juzi kati kwenye Branch moja ya Mjini DSM (jina kapuni), binti mmoja wa usafi aliambiwa ampelekee boss matunda chumbani kwake (wafanyakazi wa hii kampuni kwa kiasi kikubwa wanaishi hapo hapo kwenye branch) alipopeleka, alilazimishwa kufanya Mapenzi na Boss wake Mhindi, akagoma na alipiga kelele hadi staff wote wakaenda na kujaa kwenye chumba cha boss wao. Baada ya kesi hiyo, mabinti wengi wa usafi ktk branch tofauti tofauti walianza kufunguka kuhusu unyama wanaofanyiwa na mabosi wao wahindi.

Malalamiko ya namna hii staff wakipeleka kwa supervisors, hayachukuliwi hatua maana supervisor ni puppet wa hao wahindi

Pamoja na kwamba ushahidi ulikuwa wazi hiyo juzi, hakuna hatua zozote za kinidhamu zimechukuliwa kwa Mhindi huyo na cha ajabu, amehamishiwa HQ Kinondoni kuendelea na kazi.

Kwa issue kama hiyo ingekua ni mbongo angeshafukuzwa kazi mara moja ila kwa vile ni mhindi mwenzao, hawajafanya chochote. Double standard ya kiwango cha Lami. Kimsingi makosa mengi yanayohitaji Disciplinary actions yakifanywa na mbongo, anatajwa na staff wote wanamjua. Ila mhindi hawataji kabisa, inabaki kama story za chini chini tu.

Naomba madawati yanayohusika na jinsia pamoja na vyombo husika vya kisheria wafuatilie jambo hili na kufanya uchunguzi ili hawa watu wachukuliwe hatua kisheria.

Msaada wa maoni pia nini kifanyike ili kukomesha tabia hii?

Ni hayo tu.

Ahsante
 
ASA sio TU kuwanyanyasa wafanyakazi lakini pia inakopesha wanawake TU ! Ukiomba mkopo unakuwa mtumwa wa ngono ..wake zetu wanasuguliwa sana pale asa ! Kila mwanamke anaeenda pale akiwa na kishepu au ni msichana mdogo itakuwa Kila siku nikukunwa TU Asa ni balaa kubwq
 
Nilifanya kazi ASA miez mitatu ile ya probation, sijajua nilifukuzwa ama niliacha mwenyewe.

Nilikuwa na mahusiano na mfanyakaz mwenzangu means nilikuwa namkaza.

manager na area manager wakajua napita nae wakashindwa niambia live, wakaenda kunistnich kwa mhind, wakaniandikia makosa ya kiwaki nijibu kwa barua sikujibu.

Nikapanga niache kazi so nilkawa nasubiria mshahara utoke kama siku mbili then niamshe, siku mshahara umetoka na mhind nae akaja ofisi yetu.

Hiyo day alinikuta nipo mitungi vibaya halafu mida ya saa 7 mchana, nilimpiga spana za kutosha na manager wake hawakuamini.

Mimi na yule manzi tukaachana nao since those days.

Ila ASA ni kampuni ya kiwaki sana ina turnover kubwa sana ya employees
 
Yote haya sababu ya wapuuzi ccm , wamedumaza uchumi na prospect ya mwananchi wa Tanzania ,as a result mwananchi Kawa mtumwa na kijakazi ndani ya nchi yake kwa manyanyaso na ujira duni.

Ndio hivyo hivyo hata kwenye suala la rushwa , hao wapuuzi wachina na wahindi ndio worse kwenye unyanyasaji wa vipigo ,matusi, unyanyasaji kingono nk ,wafanyakazi wao wanapata manyanyaso kama kudhulumiwa malipo ,ujira duni ,mazingira ya kazi mabovu na hatarishi kwa uhai au kiafya ,na bado wakifanya hayo wanajua hawataguswa na sheria maana wanatoa rushwa kwa mamlaka .

Hii nchi ni failure
 
ASA sio TU kuwanyanyasa wafanyakazi lakini pia inakopesha wanawake TU ! Ukiomba mkopo unakuwa mtumwa wa ngono ..wake zetu wanasuguliwa sana pale asa ! Kila mwanamke anaeenda pale akiwa na kishepu au ni msichana mdogo itakuwa Kila siku nikukunwa TU Asa ni balaa kubwq

🥲
 
Mnaofanyiwa hivo mafala wote..mnashinndwa kuwateka ..kuchukua pesa zote kwa upuuzi wanaowafanyia..??
 
Nilifanya kazi ASA miez mitatu ile ya probation, sijajua nilifukuzwa ama niliacha mwenyewe.

Nilikuwa na mahusiano na mfanyakaz mwenzangu means nilikuwa namkaza.

manager na area manager wakajua napita nae wakashindwa niambia live, wakaenda kunistnich kwa mhind, wakaniandikia makosa ya kiwaki nijibu kwa barua sikujibu.

Nikapanga niache kazi so nilkawa nasubiria mshahara utoke kama siku mbili then niamshe, siku mshahara umetoka na mhind nae akaja ofisi yetu.

Hiyo day alinikuta nipo mitungi vibaya halafu mida ya saa 7 mchana, nilimpiga spana za kutosha na manager wake hawakuamini.

Mimi na yule manzi tukaachana nao since those days.

Ila ASA ni kampuni ya kiwaki sana ina turnover kubwa sana ya employees
Ulikuwa tawi lipi mkuu
 
Back
Top Bottom