Ezekia Lameck
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 200
- 206
Hii kampuni ya huduma za kifedha hovyo kabisa, customer care mbovu hawana limit time ya kushughulikia tatizo la mteja, pesa yangu imekwama kwenye selcom pay zaid ya Miezi sita sasa hawana time na mimi kabisa hawapokei simu, hawajibu hata sms za WhatsApp.
Hawa jamaa hawafai kabisa haiwezekani malalamiko ya mteja wanashindwa kufanyia kazi ndani ya miezi sita kweli?
Naomba anaefaham mahali zilipo ofisi zao nifahamishwe nishachoka kuvumilia niwafuate huko huko wanijibu kama pesa yangu imeshindikana niende moja kwa moja BOT.