Seedless Oranges kwanza zipo kitambo sana baadhi ya maenei walio kaaa Wamisionaries waliotesha pia haya machungwa, binafisi kuna sehemu walikuwa wanaishi wazungu tulikuwa tunaenda kuyaiba hapo ni miaka ya 80+ GMO kwenye plants haina muda mrefu, Seedless zipo kitambo sana, mfano Grapes seedless ndio za kitambo mno.
Pia kuna watu wanazania GMO ni mimea au matunda yasio kuwa na mbegu, hizi shule sijui wametoa wapi.
Tafuta watalamu wa mimea wakupe shule juu ya Seedless, Hybrid na GMO, make hivi vitu watu kwa stories za vijiwe vya kahawa wanadanganywa sana.
Seedless Oranges kuna Pixie, kuna Washi gton Navel, kuna Mioneola, kuna Clementine zote hizo ni seedlesss kuna Tangarine