Naomba kuelimishwa kuhusu Shudhuly

Naomba kuelimishwa kuhusu Shudhuly

Mbona maswali ya kijinga na ulijinasibu kujua dini!?..kwani pakisemwa 'somo la jiografia ni rahisi kueleweka' we unaelewa vipi
Hakuna swali la kijinga sababu umeandika na kuwazilia maswahaba mambo kwa ujumla Sasa nimekuuliza hivi ili uainishe na nikuonyeshe ujinga wako ulipo.

Kwahiyo jibu maswali yangu niliyo kuuliza.
 
Asalam aleykum.

Leo sala ya Ijumaa nimesali Tabora Msikiti uitwao Shadhuly [ukitamkwa shazli]. Nakili sala yangu ilikua ngumu kwa sababu ya kupishana steps na wenzangu.

1. Rakaa ya pili baada ya kusomwa Surat fattah, kabla ya kusujudu, ikaingizwa maombi, ambao ni utaratibu mgeni kabisa kwangu.

2. Baada ya sala na dua. Nilitaka nifanye maombi binafsi. Ila Dua ile iliendelezwa kwa safu ya mbele kusimama na kutengeneza duara kwa kushikana mikono huku wakiwa kama wanarukaruka very subtly na huku baadhi wakiwa kama wanachagiza kwa kutoa sauti ya juu mithili ya mtu anayekabwa. Nilikosa utulivu hata wa dua binafsi.

wajuzi naomba elimu, hawa ni dhehebu gani? Wanaamini nini?
Wewe wala sio muislam unataka kuuchafua uislam unge kuwa muslam khasaa uisinge leta Uzi kama huu
 
Hakuna swali la kijinga sababu umeandika na kuwazilia maswahaba mambo kwa ujumla Sasa nimekuuliza hivi ili uainishe na nikuonyeshe ujinga wako ulipo.

Kwahiyo jibu maswali yangu niliyo kuuliza.
Sasa waliotegea kwenda vitani ndiyo walewale waluosingizia wanawake wema kuzini!?..na ukiwazungumzia kilugha ya kiswahili hutozungumza kwa wingi!?..grow up
 
Muongozo ni Quran,hayo mengine ni uzushi,ndiyo yanakuja ya kufuga ndevu,usipofuga kafiri,kukata suruali,usipokata moroni,uvae niqab usipovaa upo uchi,wakati hayo yote hayapo kwenye qur'an!!
Hii nishida unasoma Qur'an lakini huelewa una uhakiki hayapo au wewe ndio hujayaona
 
Aya gani ya qur'an Allah sw kawasamehe kundi la ali na kundi la muawiya kwa kuuana!?...

Nimecheka sana, kumbe Qur'an huisomi kijana ?

Anasema Allah mtukufu.

9_100.gif

100. Na wale walio tangulia, wa kwanza, katika Wahajiri na Ansari, na walio wafuata kwa wema, Mwenyezi Mungu ameridhika nao, na wao wameridhika naye; na amewaandalia Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele. Huko ndiko kufuzu kukubwa. (at-Tawbah : 100).

Sasa tuambie Muhajirinia ni kina nani ? Ma Answari ni kina nani ? Na wale walio wafata hao kwa wema ni kina nani ?

Acheni kusumbua watu.
 
Sasa waliotegea kwenda vitani ndiyo walewale waluosingizia wanawake wema kuzini!?..na ukiwazungumzia kilugha ya kiswahili hutozungumza kwa wingi!?..grow up
Sasa ndio ujibu maswali niliyo kuuliza. Kadhia yao inafahamika Sasa hizi lawama wewe unazitoa wapi ? Jibu maswali ninayo kuuliza.

Pili, wakina walio wasingizia Wanawake wema uzinifu na hao Wanawake wema walikuwa wangapi ? Nilikuonya huko mwanzo juu ya kutumia kwako wingi katika hizi kadhia, sababu nitakuuliza maswali ambayo huwezi kujibu.

Naam, huwezi kuwazingumzia kwa wingi sababu kadhia zao ziko wazi na zinajulikana, katika Historia imetufikia ya kuwa mama Aisha ndio alisingiziwa uzinifu na Qur'an ikabinisha, mwingine ni nani aliyesingiziwa uzinifu ?
 
Lakini je kadhia yao iliishaje watu wao ? Na wewe unapata wapi nguvu ya kuwalaumu watu ambao walishasamehewa na hukumu ilipita kwao ?

Huoni kama wewe ni mjinga na huifatilii hii dini zaidi na Mtume alikataza kuwatusi Maswahaba zake ?

Hivi uko wapi na elimu kijana ?
 
Asalam aleykum.

Leo sala ya Ijumaa nimesali Tabora Msikiti uitwao Shadhuly [ukitamkwa shazli]. Nakili sala yangu ilikua ngumu kwa sababu ya kupishana steps na wenzangu.

1. Rakaa ya pili baada ya kusomwa Surat fattah, kabla ya kusujudu, ikaingizwa maombi, ambao ni utaratibu mgeni kabisa kwangu.

2. Baada ya sala na dua. Nilitaka nifanye maombi binafsi. Ila Dua ile iliendelezwa kwa safu ya mbele kusimama na kutengeneza duara kwa kushikana mikono huku wakiwa kama wanarukaruka very subtly na huku baadhi wakiwa kama wanachagiza kwa kutoa sauti ya juu mithili ya mtu anayekabwa. Nilikosa utulivu hata wa dua binafsi.

wajuzi naomba elimu, hawa ni dhehebu gani? Wanaamini nini?
Kwa maelezo kama ni Masufi, mystic Islam
 
Sasa ndio ujibu maswali niliyo kuuliza. Kadhia yao inafahamika Sasa hizi lawama wewe unazitoa wapi ? Jibu maswali ninayo kuuliza.

Pili, wakina walio wasingizia Wanawake wema uzinifu na hao Wanawake wema walikuwa wangapi ? Nilikuonya huko mwanzo juu ya kutumia kwako wingi katika hizi kadhia, sababu nitakuuliza maswali ambayo huwezi kujibu.

Naam, huwezi kuwazingumzia kwa wingi sababu kadhia zao ziko wazi na zinajulikana, katika Historia imetufikia ya kuwa mama Aisha ndio alisingiziwa uzinifu na Qur'an ikabinisha, mwingine ni nani aliyesingiziwa uzinifu ?
Qur'an 24:4
Na wanaowasingizia 'wanawake wema',kisha wasilete mashahidi,basi watandikeni bakora 80,na msiwakubalie ushahidi wao tena.na hao ndiyo wapotovu
And those who launch a charge against 'chaste women'..
Aya hiyo,iko wazi,nadhani ni dhahiri neno wanawake/women ni wingi

Halafu kusema hiyo aya inamuhusu bi aisha ni kuuvaa mkenge wa mashia,mashia wako against na aisha na humuita malaya,bahati mbaya imam malik,imam wa kwanza wa kisunni alisoma kwa imam jaafar,imam wa sita wa kisha,so kuna vya kishia latina usunni,unaamini kweli mke wa mtume atatoka vichakani na mwanaume akiweka nguo sawa!?
 
Back
Top Bottom