Huu ni ufahamu mbaya wamatumizi ya maana ya aya. Mwanzo uliwahusisha maswahaba ukatumia wingi, ila umeleta aya ambayo imeweka hukumu pasi na kumuhusisha mtu mmoja mmoja kwa maana ya hukumu imekuja kwa wingi.Qur'an 24:4
Na wanaowasingizia 'wanawake wema',kisha wasilete mashahidi,basi watandikeni bakora 80,na msiwakubalie ushahidi wao tena.na hao ndiyo wapotovu
And those who launch a charge against 'chaste women'..
Aya hiyo,iko wazi,nadhani ni dhahiri neno wanawake/women ni wingi
Halafu kusema hiyo aya inamuhusu bi aisha ni kuuvaa mkenge wa mashia,mashia wako against na aisha na humuita malaya,bahati mbaya imam malik,imam wa kwanza wa kisunni alisoma kwa imam jaafar,imam wa sita wa kisha,so kuna vya kishia latina usunni,unaamini kweli mke wa mtume atatoka vichakani na mwanaume akiweka nguo sawa!?
Swali langu liko pale pale, leta ushahidi wa huo wingi wako kuonyesha ya maswahaba wengi waliowasingizia wanawake kadhaa uzinifu.
Kingine Imamu Maalik sio Imamu wa kwanza kwa masuni, bali ni wa pili, wa kwanza ni Imam Abuu Hanifa.
Naam, Imam Maalik alisoma nini kwa Imam Jaafari ? Lakini je kwanza nani alikwambia Imam Jaafari alikuwa Shia ? Au wale maimamu wao 12 kama walikuwa Mashia ? Ushia ni kama Uyahudi tu wanatumia majina ya watu fulani kupitisha upotevu wao.