Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,123
Walikuwa ni warithi wa mitume katika matendo haswa yaliyoendan na Qur an tu.Ni sahihi kuwatumia kama miongozo ya maisha?
Walikuwa ni warithi wa mitume katika matendo haswa yaliyoendan na Qur an tu.Ni sahihi kuwatumia kama miongozo ya maisha?
Hayo yote allah alishatangaza kuwasamehe na kuwaridhia, wao ni wanadamu wanapata na kukosea na ni jambo lisilojulikanwa kwa waislamu kuwasema mabaya yao, bali mabaya yao hunyamaziwa, kwa mujibu wa itikadi ya ahlu-sunnah ama mashia wao huwatukana tu maswahaba, nahofia wewe ni mmoja wao.Sasa wanafunzi wa maswahaba wanasifiwaje na qur'an wakati mtume alikua kishafariki!?..miongoni mean hai maswahaba ndiyo wale waliotegea kwenda vitamin qur'an ikawananga,ndiyo wale waliosingizia wanawake wema kuzini quran ikawananga,ndiyo waliopigana vita kugombea madaraka hadi leo ummah umegawanyika na wakauwana,mtume saw aliandikisha qur'an akiwaambia wasome asikie ikiwa walichoandika ndicho alichowasomea
Ndevu,kinjunga na niqab hao wahabi wanasema ni lazima,wakati qur'an inasema wanawake na wainamishe macho yao,wanaume pia wainamishe macho,pia inasema oeni mnaowapenda ktk wanawake,sasa mwanamke utampendaje bila kuona sura yake ikiwa niqab ni lazima!?Muongozo ni Qur an ila unatakiwa kuangalia je hayo mambo yanapingana na Qur an !? Kama hayapingani hamna tatizo na hadithi zipo .
Sunnah sio lazima ila ni bora zaidi ,kwa sababu nje ya kiburi cha binadamu wote mpo sawa ..
It make sense.Bila shaka, kwasababu wao wameshakufa na ni watu Qur'an imewasema kwa uzuri sana bali imeamrisha kuwaheshimu na kuwaombea dua, na mtume ametukemea vikali sana kuwatukana na kuwasema vibaya.
Mathalan utapata hasara gani kumsoma abu bakr au umar au uthmaan allah awaridhie wote, utajifunza mengi makubwa na hao ni watu wa peponi kabla hata hawajakutwa na mauti.
Ndevu hakuna sehemu ni lazima ,ila Hijabu ni lazima kwa uthibitisho wa Qur an na biblia vyote .Ndevu,kinjunga na niqab hao wahabi wanasema ni lazima,wakati qur'an inasema wanawake na wainamishe macho yao,wanaume pia wainamishe macho,pia inasema oeni mnaowapenda ktk wanawake,sasa mwanamke utampendaje bila kuona sura yake ikiwa niqab ni lazima!?
Walk qur'an imesema imesamehe makosa ya maswahaba!?..kwa kuuwana kwa malaki baada ya kifo cha mtume saw!?..qur'an inasema mtume kasemehewa dhambi zilizotangulia na zijazoHayo yote allah alishatangaza kuwasamehe na kuwaridhia, wao ni wanadamu wanapata na kukosea na ni jambo lisilojulikanwa kwa waislamu kuwasema mabaya yao, bali mabaya yao hunyamaziwa, kwa mujibu wa itikadi ya ahlu-sunnah ama mashia wao huwatukana tu maswahaba, nahofia wewe ni mmoja wao.
Sio sura tu, aonekane dhahili (haya mambo ya kubet siwezi fanya kwenye jambo la msingi kama kuoaNdevu,kinjunga na niqab hao wahabi wanasema ni lazima,wakati qur'an inasema wanawake na wainamishe macho yao,wanaume pia wainamishe macho,pia inasema oeni mnaowapenda ktk wanawake,sasa mwanamke utampendaje bila kuona sura yake ikiwa niqab ni lazima!?
Hujanielewa,hao salafi kama huvai niqab uko uchi,hijab yako haijatimia,hufugi ndevu basi we kafiri,suruali hujakata basi we motoni..na wala hayapo kwenye QuranNdevu hakuna sehemu ni lazima ,ila Hijabu ni lazima kwa uthibitisho wa Qur an na biblia vyote .
Niqab ni kukokoteza ila hijab ni lazima ,yaani watu wanafanya ili kuondoka fitna za matamanio.
Hawa jamaa wanazinguaga sana basi tu.Hujanielewa,hao salafi kama huvai niqab uko uchi,hijab yako haijatimia,hufugi ndevu basi we kafiri,suruali hujakata basi we motoni..na wala hayapo kwenye Quran
Qur'ani, 24:30-31 hii surah mwisho ayah ya 31 itakupa muongozo hijabu inatakiwa iweje ifike wapi.Hujanielewa,hao salafi kama huvai niqab uko uchi,hijab yako haijatimia,hufugi ndevu basi we kafiri,suruali hujakata basi we motoni..na wala hayapo kwenye Quran
😅😅Usitumie nguvu uliona wapi mtu anaozeshwa mtu hamjui? Ebu soma vizuri kwanza maana ya ndoa ...Haipo mtu humjui sura ndio uoe kuna hawa wanaolewa na ndugu zao na wanawake wanawajua surah kabisa nk sawa .Sio sura tu, aonekane dhahili (haya mambo ya kubet siwezi fanya kwenye jambo la msingi kama kuoa
Shadhly hao itakuwa walisoma qunut kuwaombea Waislam na ndugu zetu wa Ghaza.Asalam aleykum.
Leo sala ya Ijumaa nimesali Tabora Msikiti uitwao Shadhuly [ukitamkwa shazli]. Nakili sala yangu ilikua ngumu kwa sababu ya kupishana steps na wenzangu.
1. Rakaa ya pili baada ya kusomwa Surat fattah, kabla ya kusujudu, ikaingizwa maombi, ambao ni utaratibu mgeni kabisa kwangu.
2. Baada ya sala na dua. Nilitaka nifanye maombi binafsi. Ila Dua ile iliendelezwa kwa safu ya mbele kusimama na kutengeneza duara kwa kushikana mikono huku wakiwa kama wanarukaruka very subtly na huku baadhi wakiwa kama wanachagiza kwa kutoa sauti ya juu mithili ya mtu anayekabwa. Nilikosa utulivu hata wa dua binafsi.
wajuzi naomba elimu, hawa ni dhehebu gani? Wanaamini nini?
Ndevu hakuna sehemu ni lazima ,ila Hijabu ni lazima kwa uthibitisho wa Qur an na biblia vyote .
Niqab ni kukokoteza ila hijab ni lazima ,yaani watu wanafanya ili kuondoka fitna za matamanio.
1 Wakorintho 11:6