inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,807
- 22,633
Level!?..kid,you know nothing,we husomi,unasomeshwa na unabugia tuKama una mwaka was 32 unasoma na huelew omba San Allah akupe shifaa upo level ipi mpaka sasa,?
Level!?..kid,you know nothing,we husomi,unasomeshwa na unabugia tuKama una mwaka was 32 unasoma na huelew omba San Allah akupe shifaa upo level ipi mpaka sasa,?
Kwani ukuumuliza imamu alieswalisha swala hiyo?Asalam aleykum.
Leo sala ya Ijumaa nimesali Tabora Msikiti uitwao Shadhuly [ukitamkwa shazli]. Nakili sala yangu ilikua ngumu kwa sababu ya kupishana steps na wenzangu.
1. Rakaa ya pili baada ya kusomwa Surat fattah, kabla ya kusujudu, ikaingizwa maombi, ambao ni utaratibu mgeni kabisa kwangu.
2. Baada ya sala na dua. Nilitaka nifanye maombi binafsi. Ila Dua ile iliendelezwa kwa safu ya mbele kusimama na kutengeneza duara kwa kushikana mikono huku wakiwa kama wanarukaruka very subtly na huku baadhi wakiwa kama wanachagiza kwa kutoa sauti ya juu mithili ya mtu anayekabwa. Nilikosa utulivu hata wa dua binafsi.
wajuzi naomba elimu, hawa ni dhehebu gani? Wanaamini nini?
We umeingia kwenye Madhebu ya Qadiria 😀😆😅😅Asalam aleykum.
Leo sala ya Ijumaa nimesali Tabora Msikiti uitwao Shadhuly [ukitamkwa shazli]. Nakili sala yangu ilikua ngumu kwa sababu ya kupishana steps na wenzangu.
1. Rakaa ya pili baada ya kusomwa Surat fattah, kabla ya kusujudu, ikaingizwa maombi, ambao ni utaratibu mgeni kabisa kwangu.
2. Baada ya sala na dua. Nilitaka nifanye maombi binafsi. Ila Dua ile iliendelezwa kwa safu ya mbele kusimama na kutengeneza duara kwa kushikana mikono huku wakiwa kama wanarukaruka very subtly na huku baadhi wakiwa kama wanachagiza kwa kutoa sauti ya juu mithili ya mtu anayekabwa. Nilikosa utulivu hata wa dua binafsi.
wajuzi naomba elimu, hawa ni dhehebu gani? Wanaamini nini?
Sija kwambia kukata suruali wala ndevu nimekwambia niqab rudi ukasome na sirra Wenda itakusaidia kuelewa hii dini imekamilika ukiona jambo huelewi rudi kwenye Qur'an na sunnna,Hazihusiani na niqab wala ndevu wala kukata suruali
Unajitia aibu sana na inaonyesha hata biblia hauisomiBiblia tena!!!??mstari upi?
Swali gani!?Jibu maswali niliyo kuuliza, nyinyi wapotoshaji tukiwaacha mtafanya watu wasio ijua dini na kufatilia wawaone nyinyi mnaandika ya kweli wakati ni upotofu na uzandiki.
Sawa me nime kuelewesha maamuzi ni yako, إنا هدينه السبيل إما شاكرا وإما كفورLevel!?..kid,you know nothing,we husomi,unasomeshwa na unabugia tu
Hakuna niqab,jilbab ni ushungi,hiyo suratin nuur inataka shungi ziteremshwe mpaka vifuani,niqab siyo jilbab/ushungiSija kwambia kukata suruali wala ndevu nimekwambia niqab rudi ukasome na sirra Wenda itakusaidia kuelewa hii dini imekamilika ukiona jambo huelewi rudi kwenye Qur'an na sunnna,
Sasa kwanini masister wanavaa vile?Masista hawavai hijabu punguza kulazimisha 6 kuonekana ni 9. Hakuna neno hijab kwenye biblia nzima
Wewe ndiye unayepaswa kufuata njia ya kushukuru,hiyo ya bukhari na muslim unaenda siko(2:180)Sawa me nime kuelewesha maamuzi ni yako, إنا هدينه السبيل إما شاكرا وإما كفور
Wakeze mtume na maswahaba walikuwa wana jistiri vipi..?? Halafu ukisha pata jibu wewe ni mjuzi kuliko mtume na maswahab ndugu niqab haijaanza kuvaliwa LeoHakuna niqab,jilbab ni ushungi,hiyo suratin nuur inataka shungi ziteremshwe mpaka vifuani,niqab siyo jilbab/ushungi
Walikua wanajisitiri kama qur'an ilivyoagiza,nyi watu mna shida gani!?..kwa nini mnaona qur'an si muongozo unaotosha!?Wakeze mtume na maswahaba walikuwa wana jistiri vipi..?? Halafu ukisha pata jibu wewe ni mjuzi kuliko mtume na maswahab ndugu niqab haijaanza kuvaliwa Leo
Niqab Ni ziada sio lazima katika mafundisho ya uislamu.....kitabu Cha fiqhi juzuu ya kwanza kinaelezea mwanamke anatakiwa ajistiri vipi.Wakeze mtume na maswahaba walikuwa wana jistiri vipi..?? Halafu ukisha pata jibu wewe ni mjuzi kuliko mtume na maswahab ndugu niqab haijaanza kuvaliwa Leo
Sasa hata wewe unavyotumia simu napo si unafanya dhambi? Na hiyo WhatsApp unakowapeleka watu nako si dhambi?Watu wanatakiwa waache kufuata matamanio ya nafsi na waufuate Uislam kwa ukamilifu wake kupitia Kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia. Hijab ni wajib, Ndevu ni lazima wazee. Wewe zinyoe tu lakini tambua kuwa unapata dhambi. Kupunguza suruali na kanzu viwe juu ya kongo mbili za miguuni nayo ni wajib na adhabu kali iko kwa wanaume wanye kuburuza nguo zao. Muziki ni haramu, picha ni haramu (isipokuwa zile za dharura kama passport, Nida nk) Video ni haramu, kuangalia Tv ni haramu. Huu ndio ukweli bila chenga. Allah atusamehe na kutuhifadhi.
Hii ni dini. Haiangalii wingi wa watu au umaarufu. Aliye mbora mbele ya Allah ni Mchamungu. Na Uchamungu ni kufuata Quran na Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.
Wajibu wetu sisi ni kufikisha ila ushauri bora kwetu sote ni tukae chini tusome dini yetu. Na zidisha kumuomba Allah akuelekeze ktk njia sahihi.
Enyi Maikhwa jihadharini na malumbano ktk dini. Ukiona mwelekeo wa mtu ni kuleta malumbano sheria inataka umuepuke.
Kwa mwenye kuhitaji elimu sahihi ya dini yenye ukweli na uwazi tafadhali wasiliana nami kwa Whatsapp no. 0688999006
Sija kataa tunapozungumzia hijab ina vigawanyo vyake so mada ni ndefu kidogo, ila huyo jamaa alisema hakuna niqab.Niqab Ni ziada sio lazima katika mafundisho ya uislamu.....kitabu Cha fiqhi juzuu ya kwanza kinaelezea mwanamke anatakiwa ajistiri vipi.
Uchi wa mwanamke Ni mwili mzima isipokuwa uso na vitanga(viganja) vya mikono....Sasa utakuta wazee wanalazimisha Kama faradhi mwanamke avae soksi mikononi na miguuni,ile haikatazwi Ila sio faradhi(Lazima).
Unajitia aibu sana na inaonyesha hata biblia hauisomi
Sasa kwanini masister wanavaa vile?
Nimekuuliza swali kwanini wote wavae vile kuna shida gani?Yale ni mavazi kama mengine,Kwani wakivaa vile kuna ubaya gani?