Tunapambana nahali zetu.... Kwaupande wangu sio inshu nawala sijawahi kuwaza kunywa Chai nyumbani kama ninaratiba yakwenda job. Vilevile nitachelewa job.
Imagen natoka job saa3 usiku ndio nafika home, nioge, Nile chakula nimle nampishi mpaka kulala nisaa7. So uwezo wakuamka sa10 mimi namwenzangu nimdogo sana kwahiyo hapo tunaamka Saa12 tunajiandaa fasta fasta tunasepa tena kwakuchelewa.
Kwahiyo mwenzangu hana muda wakuniandalia Chai labda kama angekuwa mama wanyumbani.
Sent using
Jamii Forums mobile app