Naomba kubadili jina

Naomba kubadili jina

kwa upande wa majina ya kikabila, nakushauri upate jina ambalo utajua maana yake kwa uhakika. Unaweza ukapewa jina ambalo ni tusi hivyo ikakushushia heshima yako.
 
kwa nini usitumie moja ya majina yako halisi? mi natumia jina la kwanza na sipati shida yoyote. but kama hutojali tumia "Maran - Atha" which means, "Come ooh, Lord"
 
Bongi Inkhosi = praise the Lord
Imana Ishimwe = praise the Lord
Muwaha Yalumbwe = praise
Mutwa Yalumbwagwe = praise the Lord

au ukipenda jina linalotaka kufana na langu
Jesu Inkhosi wetu - Jesus our Lord
Yeshua Melech Ha Mlachim - Jesus King of kings
Jesu Inkhosi ya makosini - the same like above!

Au
Lugano = Upendo
Wendo = upendo

Hallo Mungu akubariki mtumishi. Majina yako nimeyapenda sana. Nimeyahifadhi pazuri naamini moja katik ya hilo laweza kinuifaa.
Stay blessed.
 
kwa upande wa majina ya kikabila, nakushauri upate jina ambalo utajua maana yake kwa uhakika. Unaweza ukapewa jina ambalo ni tusi hivyo ikakushushia heshima yako.

Thank you for your advise!! its noted
 
kwa nini usitumie moja ya majina yako halisi? mi natumia jina la kwanza na sipati shida yoyote. but kama hutojali tumia "Maran - Atha" which means, "Come ooh, Lord"

Jina langu kabisa?? mmmmm!!!, Nafuta jina lingine. Asante kwa pendekezo zuri @@ Maran Atha!!!!!!
 
May i suggest the following:
-Particle
-Super Nova
-Magnetron
-Restitution
-Photon
-Techno
I could suggest more if you wish,but they will be of the same nature as the ones above.
 
jiite "kondom" . hii itahamasisha jamii kujikinga na ukimwi.
 
May i suggest the following:
-Particle
-Super Nova
-Magnetron
-Restitution
-Photon
-Techno
I could suggest more if you wish,but they will be of the same nature as the ones above.

Sasa mr Good guy, why such scientific names???
 
Sasa mr Good guy, why such scientific names???

-Firststly they sound cool,What they mean even 'cooler'
-Secondly its b'cause i'm a scientist,so what do ya love em' or Politics is more of your taste.
 
Jamani kabla sijawaomba wahusika wanibadilishie jina, naomba mwemye jina zuri ani pendekezee hapa.

Tabutupu naona si jina zuri. Hata la kienyeji ili mradi unipe maana yake.
Asanteni.

Tumekuzoea hivyo mkuu usipoteze hii identity!
 
Jamani kabla sijawaomba wahusika wanibadilishie jina, naomba mwemye jina zuri ani pendekezee hapa.

Tabutupu naona si jina zuri. Hata la kienyeji ili mradi unipe maana yake.
Asanteni.

mi nashauri ujiite kibati-kichuma.....
 
Back
Top Bottom