Naomba kubadili jina

kwani jina hili lina nini?
au umeshagundulika?
Jamani kabla sijawaomba wahusika wanibadilishie jina, naomba mwemye jina zuri ani pendekezee hapa.

Tabutupu naona si jina zuri. Hata la kienyeji ili mradi unipe maana yake.
Asanteni.
 
kwani jina hili lina nini?
au umeshagundulika?

kugundulika kivipi, kama ni hivyo si ningeingia mitini kimyakimya. hata wewe ukitaka kunijua ni PM , nitakupa hata namba yangu ya simu, nitakukaribisha nyumbani uje tupige story kidogo za JF hapa. karibu sana.
 
dah, nimecheka sana humu, mi kabla sijakupa jina em nambie we ni wa kiume au wa kike? me/ke :A S-confused1:
 
dah, nimecheka sana humu, mi kabla sijakupa jina em nambie we ni wa kiume au wa kike? Me/ke :a s-confused1:

asante sana d5, swali dogo kwanza kwako. Hivi hili jina d5 ni la ke/ me.???
 
tehe tehe utakuwa mteketeke lainiii. Ni BUTOMBITOMBI sio BITOMBITOMBI origin ya jina ni ITOMBWE milimani

mmm, lakini hiyo butombitombi, kazi ipo. wabibi watakuwa hawataji jina. lakini ngoja nikalale. usiku mwema wote.
 
Bongi Inkhosi = praise the Lord
Imana Ishimwe = praise the Lord
Muwaha Yalumbwe = praise
Mutwa Yalumbwagwe = praise the Lord

au ukipenda jina linalotaka kufana na langu
Jesu Inkhosi wetu - Jesus our Lord
Yeshua Melech Ha Mlachim - Jesus King of kings
Jesu Inkhosi ya makosini - the same like above!

Au
Lugano = Upendo
Wendo = upendo
 
Back
Top Bottom