Ukipata pesaShukrani sana Mkuu
Kama unafanya kazi kiwandani na umeona haitoshelezi vigezo, sasa utakuwa unahitaji kazi gani labda tuanzie hapo na mwanachama wa chama gani?Habari za jioni wakuu
Kijana mtiifu,mchapakazi na mwenye akili timamu.Nipo mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kuendesha maisha yangu
Elimu yangu ni kidato cha 6 napatikana Goba Dar es salaam.Kazi ninayofanya kwa sasa ni kiwandani
Mwenye mchongo wowote tushtuane wakuu tusikunjiane
Lamomy
Mjusi Sharobalo
Mwanachama wa chama cha Gen ZKama unafanya kazi kiwandani na umeona haitoshelezi vigezo, sasa utakuwa unahitaji kazi gani labda tuanzie hapo na mwanachama wa chama gani?
Nilikuwa nimedhamiria kumwajiri lakini Kwa hiki nilichokiona simtaka kwenye kampuni yangu.Ngoja wasome michango yakoView attachment 3507897
Kumbe ni kijana mtiifu wa mboga mboga?Ngoja wasome michango yakoView attachment 3507897
Boss, mkono ukinyewa na mtoto haukatwi bali huoshwaNilikuwa nimedhamiria kumwajiri lakini Kwa hiki nilichokiona simtaka kwenye kampuni yangu.
Kwanza kijana kama huyu anamchango mdogo sana katika Tanganyika yetu.
Mkuu ngoja kwanza tuikomboe Tanganyika, kisha Kila kitu kitakuwa bomba 😂Boss, mkono ukinyewa na mtoto haukatwi bali huoshwa
Hii Tanganyika lazima tuikomboe
Chawa wa ccm huyo, usipoteze muda kumshauti chochote cha maanaUkipata pesa
Jifunze kuoka mikate na keki na vitu kama hivyo
Hutalia njaa tena
Tafuta walimu na pia online kuna masomo haswa you tube
Huko goba unaishi na wazazi?
Nguvu! 💪💪Pamoja Mkuu
Sawa kijana, komaa kwanza 9D ipite kisha unicheki, maana nisije nikakuajiri halafu 9D nikafa kwa barabara ukaja kudai nilikuachia mali zangu kabla sijatandika daluga.Mwanachama wa chama cha Gen Z
Kazi ya kiwandani masaa ni mengi sana ya kazi halafu ujira ni mdogo 4000 per day kula ni mchana tu au usiku tu na kazi ni nzito
We jamaa una shida gani? Huyo unaemwambia hivyo jana tu tumepishana mtazamo ila amekuja na mawazo positivelyChawa wa ccm huyo, usipoteze muda kumshauti chochote cha maana