Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,737
- 50,122
Kumbe ni kijana mtiifu wa mboga mboga?
Kumbe ni kijana mtiifu wa mboga mboga?
Kijana apewe namba ya mwigulu huyu apige simu moja tu.....jtatu aanze kazi asisahau kubeba skafu.
Foffana
Nilikuwa nimedhamiria kumwajiri lakini Kwa hiki nilichokiona simtaka kwenye kampuni yangu.
Kwanza kijana kama huyu anamchango mdogo sana katika Tanganyika yetu.
😂😂, Kwa kweli kijana historia inamhukumu
Fungua thread waombe msamaha uliowabeza, uliowaudhi kwa maandishi yako ya kubeza harakati za Gen Z, omba radhi kwa kuungana na kutetea utawala dhalimu na haramu na uache uchawa. Mi sina chuki na wewe ila nlikuwa naona sana michango yako kwenye movement ya Gen Z.Mkuu nimekukosea nini? Mbona unatumia nguvu kubwa kunichafua hii issue tushaisort out acha kujisumbua
Sawa mkuu tuko pamojaFungua thread waombe msamaha uliowabeza, uliowaudhi kwa maandishi yako ya kubeza harakati za Gen Z, omba radhi kwa kuungana na kutetea utawala dhalimu na haramu na uache uchawa. Mi sina chuki na wewe ila nlikuwa naona sana michango yako kwenye movement ya Gen Z.
Boss wewe wa mpakaniMkuu mi mwenyewe maji ya shingo hapa halafu unaniita boss, kweli!? 😂
Nikimpindua Samia nikawa Rais wewe utakuwa naibu waziri wa elimu, yaani kile cheo kinachoshikiliww na Wanu bin Samia ndicho kitakuwa chako, na waziri wako atakuwa Mwachiluwi.Boss usininyime kazi
Mimi nataka uwaziri wa fwedhaaNikimpindua Samia nikawa Rais wewe utakuwa naibu waziri wa elimu, yaani kile cheo kinachoshikiliww na Wanu bin Samia ndicho kitakuwa chako, na waziri wako atakuwa Mwachiluwi.
Hivyo nakuomba 9D uniunge mkono katika shughuli nzima ya kumwangusha huyu sheitwani.
Niko ndani ndani nanjilinji nalima korosho.Boss wewe wa mpakani
Kujikomba kote kule kumbe unatafta kaziMwanachama wa chama cha Gen Z
Kazi ya kiwandani masaa ni mengi sana ya kazi halafu ujira ni mdogo 4000 per day kula ni mchana tu au usiku tu na kazi ni nzito
Usisahau kutengeneza pombe ya temboNiko ndani ndani nanjilinji nalima korosho.