ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,791
- 36,063
Jifunze kuwajibika kama kijanaUnakosea mkuu we ni mtu timamu sana humu
Bandari ina warabu huwezi kupata hata kibarua pale
Serikali ilitakiwa iwaangalie vijana mpate mitaji hata ujuzi mjiajiri ila ndo inauwa Kwa maelfu
Ukiambiwa tupinge mambo haya wewe unabaki kupuuza