Naomba kazi

Naomba kazi

Nikimpindua Samia nikawa Rais wewe utakuwa naibu waziri wa elimu, yaani kile cheo kinachoshikiliww na Wanu bin Samia ndicho kitakuwa chako, na waziri wako atakuwa Mwachiluwi.

Hivyo nakuomba 9D uniunge mkono katika shughuli nzima ya kumwangusha huyu sheitwani.
9D niko front mhishimiwa
 
Jamaa kumbe ndo huwaga uko hivi humu jukwaani nilikuwa nakuona ni mtu smart sana aisee kumbe upande wa pili ndo uko hivi
Hata mimi nasimama upande wa haki na nitaendelea kusimama upande wa haki siku zote

Sehemu ulipoona nimekosea tunaeleweshana palepale na sio kuja kuchafuana hapa ambapo hata hapahusiani na politics

Anyway kama unauhitaji wa kijana hapo kwa ofisi nisaidie mkuu nijishikize

We haujawahi kutafuta kazi? Au kutafuta kazi ni kitu cha ajabu?
We kazi yako c uchawa
Unatafta kazi ya nini tena stupid wewe
 
Ntakupa mchongo wa kuzitia rungu nyumbu zilizopanga maandamano uchwara ya wizi za mali za watu na kuharibu, kigezo ni uwe na uwezo wa kupiga rungu 30 ndani ya sekunde 1
 
Habari za jioni wakuu

Kijana mtiifu,mchapakazi na mwenye akili timamu.Nipo mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kuendesha maisha yangu

Elimu yangu ni kidato cha 6 napatikana Goba Dar es salaam.Kazi ninayofanya kwa sasa ni kiwandani

Mwenye mchongo wowote tushtuane wakuu tusikunjiane

Lamomy
Mjusi Sharobalo
Platinum Credit Limited ni kampuni inayotoa mikopo kwa Watumishi wa Umma, wafanyabiashara na wafanyakazi kampuni binafsi.

Wanaahitajika Mawakala wa Mauzo mkoa wa Dar es salaam

SIFA ZA MUOMBAJI:
  • Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
  • Mwenye utayari wa kujifunza
  • Uzoefu wa kazi za mauzo na masoko
  • Awe mwaminifu na mwenye kujitambua
  • Umri usiopungua miaka 20

MAOMBI:
Muombaji atume nakala ya wasifu (CV) Kupitia njia zifuatazo
Email: ally.kafuku.platinum@gmail.com
Whatsapp: 0757962335
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom