naomba jibu hapa........!!

Anyway nimesoma maoni yenu wapendwa........labda kuna mtu mmoja kabahatisha.....
Jibu ni kwamba....adam na eva hawakuzaliwa katika matumbo/tumbo la mwanadamu, kwahivyo hawa jamaa/couple hawana vitovu katika matumbo yao!! Ni tofauti na wanadamu wengine kwa kutokuwa na vitovu, kwa hili jamaa aliwajua kabisa hawa couple hawakuzaliwa bali waliumbwa na ndio hao wazazi wa kwanza adam na eva
wasalaaaaaam

And why xactly do u say dat?
 
Back
Top Bottom