naomba jibu hapa........!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
kuna jamaa mmoja alikufa bahati nzuri akaenda moja kwa moja mbinguni/peponi. Huko alikutana na maelfu ya wenzake na wote walikuwa kama walivyozaliwa(uchi) na walionekana kama walikufa katika umri wa miaka 21 hivi. Sasa jamaa akaanza kuwaangali wale wenzake mmoja baada ya mwingine ili aone kama kuna yeyote anaweza kumtambua/kumfahamu. Kwa bahati nzuri aliwaona couple/wapendanao na palepale akawajua kwamba hawa ni Adam na Eva(Bible-Genesis).
Swali: Alijuaje kwamba hawa ni Adam na Eva??
 
aliwajua kwa kuangalia jinsia zao.kwani adam ni jinsia ya kuume na eva ni jinsia ya kike
 
aliwajua kwa kuangalia jinsia zao.kwani adam ni jinsia ya kuume na eva ni jinsia ya kike

Kwahiyo wengine hawakuwa na jinsia...duh hii kali ya mwaka. Anyway umekosa lakini
 
Everybody knows that Adam and Eve were never born so they never had bellybuttons on their tomies. Therefore he saw the couple have no bellybuttons and knew they were Adam and Eve.so easy!
 
maumbile yao,adam alikuwa na urefu 60m upana 7m na walizifunika tupu zao kwa kuöna aibu
 
Mbona simpo sana hiyo? Walikuwa wameficha sehemu zao za siri kwa majani! Tehe, tehe, tehe!!
 
Everybody knows that Adam and Eve were never born so they never had bellybuttons on their tomies. Therefore he saw the couple have no bellybuttons and knew they were Adam and Eve.so easy!
 
Anyway nimesoma maoni yenu wapendwa........labda kuna mtu mmoja kabahatisha.....
Jibu ni kwamba....adam na eva hawakuzaliwa katika matumbo/tumbo la mwanadamu, kwahivyo hawa jamaa/couple hawana vitovu katika matumbo yao!! Ni tofauti na wanadamu wengine kwa kutokuwa na vitovu, kwa hili jamaa aliwajua kabisa hawa couple hawakuzaliwa bali waliumbwa na ndio hao wazazi wa kwanza adam na eva
wasalaaaaaam
 
Back
Top Bottom