nimekuja sasa,sema tayari umepata hongera kwa kuwa na subira, twende tukaanze maisha yetuMwaka wa sita huu, nipo humu natafuta mke na sijapata
Na iwapo upo hospitali hapo hapo unapata ruhusha kurudi nyumbani.Kitalaam hii inaitwa "kutapika nyongo"
Mungu amesikia sala zangu, vipi una buku ya karibu hapo?nimekuja sasa,sema tayari umepata hongera kwa kuwa na subira, twende tukaanze maisha yetu
Tatizo mimi sipambani.mkuu katika pambano mtu aki rusha taulo si kazi Kwisha?.
wewe una endelea kugaragaza maiti 😁 🤣
Wewe acha uongoMwaka wa sita huu, nipo humu natafuta mke na sijapata
sio buku tu,,we sema hela ya kunyolea,b mkubwa anaumwa, fridge haina kitu,pango kwisha.......nk npo kwaajili yakoMungu amesikia sala zangu, vipi una buku ya karibu hapo?
Utakuwa umeshushwa kutoka mawinguni, sio hawa ninaowafahamu mimi.sio buku tu,,we sema hela ya kunyolea,b mkubwa anaumwa, fridge haina kitu,pango kwisha.......nk npo kwaajili yako
Naona unafaa kabisa kuwa mama mchungaji wa hapa mtaa wa kwetuWewe acha uongo
sema tawileUtakuwa umeshushwa kutoka mawinguni, sio hawa ninaowafahamu mimi.
utanifunza sababu nafunzika😂Unaweza kucheza lakini
![]()
Mi ni kontawa hawawezi kuniweka kizuizini muda mrefu nimeshinda kesiHakuna kitu kwanza umeunblokiwa lini