Naomba humu watu waheshimiane

Naomba humu watu waheshimiane

Kuna wanawake wanajiona sana matawi nyuma ya hizi profile zetu wanatukana wanawake wenzao .
Huna haya kwanza wewe unanguvu sana zakuwaandama wenzako .

Nahuku wewe mwenye unashida huna hata marafiki ,ndugu wamekutelekeza .

MTu anaid za mia mbili kisa kujibu wenzake kunya nakuwasumbua.
Hao niwanawake .

Wanaume
Humu hakuna malaya na kama wapo ninyie mmewawekea hilo jina .

Jamani mkija PM sio sex mtu anawaza anatafuta mwanaume anayejiheshimu kama unaupwiru wako peleka kwa malaya wenzako .

Watu ni watu wazima na wanataka watu wenye akili sio malaya nakupotezeana muda .

Makundi

Kuna vimakundi vya kipuuzi kuna vizee ,watoto,vijana ,vimama na vihongwe komeni kuwatafuta watu humu kwa maana kila mtu anakuja kula good time.
JamiiForums sio yenu.fungueni yenu,

Msumbue watu tokea 2019 hadi 2025 hamjachokatu kufuatilia watu .
Hamjazeeka tu hadi msaahau JF .

Mnakera nyie ndio mnajuaga kila kitu cha humu cha nje cha wapi.
Mnawaona wengine hawajielewi nyie mnajielewa . Mnachosha .

Hebu heshimuni wenzenu na hakuna mtu mnamlisha hadi muone ni watu wakushushiwa heshima.
Una undugu na baby cand wa Dully sykes ?
 
Kuna nn kinaendelea naona watu mnarushiana maneno makali jamani...
SAMEHEANENI JAMANI PALE MLIPOKOSEANA MAANA DUNIA YENYEWE HII HAKUNA AJUAYE KITAKACHOTOKEA BAADA YA DK MOJA MBELE..

ushauri: binti usimuite mwanaume malaya kabla hujajua historia ya babako, vile vile mwanaume usimuite mwanamke malaya kabla haujajua historia ya mamako.

ALL IN ALL JARIBU KUSAMEHEANA
 
Another innocent neck carrying an empty head with no brain from the product of unsuccceful arbotion and expired p2 from unknown chemist with the m kopa phone on the wrong hand..!! 😹😹😹

Sema halaaaaah.!! 🤣😹
PSL god chupa lishaamka na chai..
Babe! acha ugomvi..
 
Back
Top Bottom