Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,208
- 62,267
Kuna jirani yako nimemwagiza akuletee mirinda ya njano, vipi umeipata?😂😂😂😂 Daaaah sawa
Kuna jirani yako nimemwagiza akuletee mirinda ya njano, vipi umeipata?😂😂😂😂 Daaaah sawa
nshaipiga apa na chips kavuKuna jirani yako nimemwagiza akuletee mirinda ya njano, vipi umeipata?
Tumia na ugali wa mtamanshaipiga apa na chips kavu
Ana mambo ya kizamanihujamwona hata Binti wa zamani kweli?![]()
nikabwe nifeTumia na ugali wa mtama
Kifo ni njia ya kwenda mbinguni, au hutaki kwenda mbinguni?nikabwe nife
Mapema iviKifo ni njia ya kwenda mbinguni, au hutaki kwenda mbinguni?
ha ha ha kumbe duniani kuzuri?Mapema ivi
Haswaaaaaa ukiwa huna stress za mapenziha ha ha kumbe duniani kuzuri?
pelekewa motooo..... pelekewa motooo, msanii gani aliimba huu wimbo?Haswaaaaaa ukiwa huna stress za mapenzi
Equation xpelekewa motooo..... pelekewa motooo, msanii gani aliimba huu wimbo?
unapenda ujinga ujinga wewe

sasa kaimba nani apo wajameniunapenda ujinga ujinga wewe![]()
sijui ni ara keli, ebu nikumbushe?sasa kaimba nani apo wajameni
unasahau haraka nawewe,,ni Bob Marley bwansijui ni ara keli, ebu nikumbushe?
Umepatia kabisa, ivi alibatizwa lini?unasahau haraka nawewe,,ni Bob Marley bwan
kesho asubuhiUmepatia kabisa, ivi alibatizwa lini?