Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Hapa pamejaa inferiority complex hapafai.....Evelyn Salt njoo tuheshimiane hakuna kuitana majina ya ajabu... hahaha...
Hapa pamejaa inferiority complex hapafai.....Evelyn Salt njoo tuheshimiane hakuna kuitana majina ya ajabu... hahaha...
Mambo yao tuwaachie wenyewe...Hapa pamejaa inferiority complex hapafai.....
Kumbe nafasi imeshanyakuliwa na Marry ndio maana ana hasira za kutufokea.. ila 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bwana we huyu mchumba wa PSL god anajizungusha tu kunitaja direct anaogopa 😹😹
Ana stress umri umeenda waliomzalisha wamemkimbia na ndoa hana..!!
Km kuna mtu anahitaji sana reforms basi ni huyu, hali ngumu..!!
Na sasa hivi nafasi yake ya kujichetua na kushobokewa imechukuliwa na Marry basi dipresheni imemzidi..!! 😹😹😹
Sis nawe umepotea unasalimiwa na ndugu yako..!🤣
Kuna wanawake wanajiona sana matawi nyuma ya hizi profile zetu wanatukana wanawake wenzao .
Huna haya kwanza wewe unanguvu sana zakuwaandama wenzako .
Nahuku wewe mwenye unashida huna hata marafiki ,ndugu wamekutelekeza .
MTu anaid za mia mbili kisa kujibu wenzake kunya nakuwasumbua.
Hao niwanawake .
Wanaume
Humu hakuna malaya na kama wapo ninyie mmewawekea hilo jina .
Jamani mkija PM sio sex mtu anawaza anatafuta mwanaume anayejiheshimu kama unaupwiru wako peleka kwa malaya wenzako .
Watu ni watu wazima na wanataka watu wenye akili sio malaya nakupotezeana muda .
Makundi
Kuna vimakundi vya kipuuzi kuna vizee ,watoto,vijana ,vimama na vihongwe komeni kuwatafuta watu humu kwa maana kila mtu anakuja kula good time.
JamiiForums sio yenu.fungueni yenu,
Msumbue watu tokea 2019 hadi 2025 hamjachokatu kufuatilia watu .
Hamjazeeka tu hadi msaahau JF .
Mnakera nyie ndio mnajuaga kila kitu cha humu cha nje cha wapi.
Mnawaona wengine hawajielewi nyie mnajielewa . Mnachosha .
Hebu heshimuni wenzenu na hakuna mtu mnamlisha hadi muone ni watu wakushushiwa heshima.