Naomba humu watu waheshimiane

Naomba humu watu waheshimiane

Kama Madam rita amelipiwa mahari ya ng'ombe miambili mie nani kasupu kajana wewe kondoo wa lile group heshimu watu wazima kamtuu kanajiona kisa umenunua crown
Majibu yako ya x ray yame toka
FB_IMG_17513115728521569.jpg
 
Kuna wanawake wanajiona sana matawi nyuma ya hizi profile zetu wanatukana wanawake wenzao .
Huna haya kwanza wewe unanguvu sana zakuwaandama wenzako .

Nahuku wewe mwenye unashida huna hata marafiki ,ndugu wamekutelekeza .

MTu anaid za mia mbili kisa kujibu wenzake kunya nakuwasumbua.
Hao niwanawake .

Wanaume
Humu hakuna malaya na kama wapo ninyie mmewawekea hilo jina .

Jamani mkija PM sio sex mtu anawaza anatafuta mwanaume anayejiheshimu kama unaupwiru wako peleka kwa malaya wenzako .

Watu ni watu wazima na wanataka watu wenye akili sio malaya nakupotezeana muda .

Makundi

Kuna vimakundi vya kipuuzi kuna vizee ,watoto,vijana ,vimama na vihongwe komeni kuwatafuta watu humu kwa maana kila mtu anakuja kula good time.
JamiiForums sio yenu.fungueni yenu,

Msumbue watu tokea 2019 hadi 2025 hamjachokatu kufuatilia watu .
Hamjazeeka tu hadi msaahau JF .

Mnakera nyie ndio mnajuaga kila kitu cha humu cha nje cha wapi.
Mnawaona wengine hawajielewi nyie mnajielewa . Mnachosha .

Hebu heshimuni wenzenu na hakuna mtu mnamlisha hadi muone ni watu wakushushiwa heshima.
Mhhhh!!!
 
Back
Top Bottom