Naomba hifadhi wanajamvi

senzota2015

New Member
Jan 21, 2012
4
0
Kwa heshima kubwa kabisa amani iwe nanyi wote.

Nimekuwa mwanafunzi wa jf kwa muda mrefu sasa. Nimejifunza mengi hapa jamvini nikaona mmenikomaza vya kutosha, mmeongeza uelewa wangu kwa kiasi kikubwa (hata kama sio 100%) na nimejiona sasa napaswa kuwa Great Thinker.

Naomba hifadhi yenu wanajamvi..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom