Naogopa kwenda Kariakoo

Naogopa kwenda Kariakoo

Usiende bar yoyote maana waweza kuuziwa soda au bia iliyokwisha muda wake
Au unaweza kupigwa na chupa na mlevi yoyote ukapoteza maisha
Na usile vyakula vya hotelini maana vingine wanakupa vya jana yake
 
Ka vp hama tu inji hii maana naona kilakitu kimechakachuliwa.
 
Usiende bar yoyote maana waweza kuuziwa soda au bia iliyokwisha muda wake &lt;br /&gt;<br />
Au unaweza kupigwa na chupa na mlevi yoyote ukapoteza maisha<br />
Na usile vyakula vya hotelini maana vingine wanakupa vya jana yake
naomba nisisitize hapo kwe vinywaji....mkuu mi ningekushauri usitumie vinywaji mara kwa mara maana saa zingine unaweza kuta mende au hata condm iliyoumika ndani ya chupa kitu ambacho ni hatari kwa afya yako
 
Hata hizi simu tunazotumia zipo chini ya kiwango.
 
yaani mtu ukitoka bongo ukaendaishi nchi za nje, kuna uwezekano mkubwa wa kuongeza lifespan yako, na vilevile kama upo nje ya nchi, ukirudi bongo tu ni kwamba umepunguza lifespan yako kwa % nyingi sana
 
majanga yaliyoko ardhini bora tungebaki matumboni mwa mama zetu au viunoni mwa wa baba kuliko kuja kutaabika kama hivi!
 
naomba nisisitize hapo kwe vinywaji....mkuu mi ningekushauri usitumie vinywaji mara kwa mara maana saa zingine unaweza kuta mende au hata condm iliyoumika ndani ya chupa kitu ambacho ni hatari kwa afya yako

Aaaaaaaaaaaaaaaaaarrrrghhhh! Pretaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hapo kwenye red!!!
 
Na usitumie condom ya aina yoyote kabisa manake nyingi zime expire,package mbovu plus utunzaji na usafirishaji na nyingine zimechakachuliwa zina vitundu vidogo visivyoonekana kwa macho,pia mafuta yake yanasababisha kansa ya uume au kizazi
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaarrrrghhhh! Pretaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hapo kwenye red!!!

ndio hali halisi ilivyo....wakati tunalipa kodi huwa tunakutana na mambo mengi sana kwenye vitendea kazi......sema tunakuwa tusharukwa na akili basi kila kitu sawa....
 
kila mahali ni hatari this country

cm kibao pumbav za kichina ukiitumia muda mfupi inakufa madhara yake mhhhhh
vyakula vingi vya kusindikwa expire date zinachakachuliwa watu tunakula sumu
bila kujijua!
-dawa za nji hii ni vipande vya mihogo na hazina ubora
hata mboga za majani zinamwagiliwa ngao/maji ya kinyesi
-uswazi landlord wangu katengeneza vyoo kimagumash muda wowote nazama ma.vi.ni
haaaaaa usiseme kila kitu njio hii matatizo matupu
 
Na usijaribu kabisa kabisa kusifia sinema za kibongo iliyokosa ubora bila kukosoa maana wasanii watazidi kujipodoa kwa kiwango kikubwa, isije wewe na wenzako mkaanza kujifunza tabia ya kujipodoa na kupata rangi ya batiki kwenye ngozi yako.
 
Back
Top Bottom