Naogopa kuitwa M'MBEA

Rafiki yangu alifunga ndoa miezi miwili iliyopita na mchumba wake wa siku nyingi.
Kutokana na ukali wa foleni huwa ninakuwepo maeneo ya mjini nikipata moja baridi, moja vuguvugu na nyingine moto.

Kila siku huwa namuona huyu shemeji yangu akiwana na kasharobaro kamoja kenye kuvaa milegezo huku wakinyweshana pombe, denda kidogo na kutomasana kwa fujo.

Natamani kumwambia mumewe licha ya kuwa naumia moyoni.
Najua nikimwambia mumewe nitaharibu uhusiano wao, na siku wakipatana wataniita M'MBEA.

JE NIFANYEJE?

Mwalike aje hapo makutano ili ajionee mwenyewe

Inawezekana hujui maana ya mmbea. Usiache rafiki yako akateketea. Mueleze ukweli na utakuwa umemsaidia sana. Kwa nini mkewe amdanganye? Nenda kaseme kama huwezi nipitie nikusindikize.

Natamani kumwambia mumewe licha ya kuwa naumia moyoni.
Najua nikimwambia mumewe nitaharibu uhusiano wao, na siku wakipatana wataniita M'MBEA.
Hahaha... hii part hapa tamu sana!
Unaweza kuta huyo sharobaro ni kaka yake huyo shemeji yako,,, unaweza ukaumbuka!! fanya utafiki kwanza kabla yakusema chochote!

bb jaribu kumnusuru jamaa kwa staili yoyote maana inaweza kuleta madhara

Buji amua kiume....mwite pembeni huyo sharobaro...mweleze kuwa huyo ni mke wa mtu, akileta usharobaro wake..kama unammudu mzibue makofi mawili usizidishe ukaua buree.

Simple
Mchukue huyo rafiki yako kaa nae
Hapo .. kunyweni kuleni chekeni..
Bibie akijitokeza mwache ye ajionee mwenyewe.. then hapo hautakuwa mmbea..
Bali utakuwa wa A _town / Manyara ..karibu.
afrodenzi; How kwenye red wako je?

Wapige picha,...,dah ila anyway kama jamaa ni best yako unahaki ya kumlindia kwa kuhakikisha kuwa jamaa anashuhudia hilo scandal mwenyewe kabla hujamtonya chochote,
ila usijaribu kumshauri shemeji yako kuhusu hiyo inshu,
dah ndoa bwana poleni sana ila kuachana ktk ndoa ktk hili ni sawa,
ntarudi kwan wanaume wanaofuga vicheche p# sana yaan

Buji amua kiume....mwite pembeni huyo sharobaro...mweleze kuwa huyo ni mke wa mtu, akileta usharobaro wake..kama unammudu mzibue makofi mawili usizidishe ukaua buree.
Duh!..mkuu bujibuji chukua huu ushauri naona umekaa kiukwelikweli,....yaani siku zote mwizi ukimfumania lazima awe mdogo hivyo nahakika utammudu tu huyu sharobaro,mpe discipline ya kutosha kama vile wewe ni mwenye mali halisi kisha usimwambie chochote shemeji yako..ujumbe utakuwa umemfikia...
NB:UWE NA UHAKIKA HUYO SHARO NI MWIZI.

Simple

Mchukue huyo rafiki yako kaa nae

Hapo .. kunyweni kuleni chekeni..

Bibie akijitokeza mwache ye ajionee mwenyewe.. then hapo hautakuwa mmbea..

Bali utakuwa wa A _town / Manyara ..karibu.

Hapo umenena mkuu mwenye naye ajikamatie yeye mwenyewe, wala hutaonekana mmbea. Coz dem wa rafiki yako akiwa anangonwa na mshikaji mwingine inauma kama demu wako vile.

Hahaha... hii part hapa tamu sana!

Unaweza kuta huyo sharobaro ni kaka yake huyo shemeji yako,,, unaweza ukaumbuka!! fanya utafiki kwanza kabla yakusema chochote!
Naogopa kufanya lolote, lakini UKAKA gani wa kutomasana vifuani na mapajani?

Similar Discussions

Back
Top Bottom