Naogopa kufanya mapenzi

Naogopa kufanya mapenzi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,431
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.

Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji
 
nakukojoa unaogopa pia?...mwanaume aliefikia stej ya kuogopa kuingiza basi uyo ni wa vice versa tu.mia
 
Bujibuji naweza kucheka hadi nichanganyikiwe,
kweli na ujanja wako hali ndiyo hii
na unasema eti mwaJ analalamika, kumbe unaona aibu ku do
mtafute Madame B ana tatizo kama lako mkayamalize
mje na majibu.

Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.

Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani bujibuji umepatwa na maswaibu kumbe sio wewe, nilitaka kustaajabu kidogo!
 
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.

Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji

Una uhakika ni wako?
 
Bujibuji naweza kucheka hadi nichanganyikiwe,
kweli na ujanja wako hali ndiyo hii
na unasema eti mwaJ analalamika, kumbe unaona aibu ku do
mtafute Madame B ana tatizo kama lako mkayamalize
mje na majibu.

Hivyo ni visa vya Bujibuji tu, hana lolote yaani mashine isimame halafu uogope kuingiza!!! Ni sawa na kusema yaani mimi ni dereva mzuri sana na nimeshaendesha magari mengi sana lakini siku hizi hata kama nina shida ya gari bora nitembee kwa mguu au nipande daladala kwa sababu naogopa kuingia barabarani!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mamndeny, Madame B kuanzia amepata gym ya wanawake watupu hapatikani siku hizi. Muda wote yuko busy na mazoezi.
Nasikia huko wanafundishwa na mazoezi mengine.

Back
Top Bottom