Naogopa kufanya mapenzi

Naogopa kufanya mapenzi

mmhhh basi we iki..nda funga macho mwambie aje mwenyewe self service
 
Nazjaz ananiita taahira kwa sababu nilimkataa, hana lolote. mwaJ wewe niliona umewekewa limbwata na hujijui. cacico ndio kila kitu kwangu, licha ya kwamba kibabu Asprin anakaba hadi penalti wakati mtarimbo wake hauonyeshi ushirikiano na mwili wake.

Sasa na huo woga utamuweza cacico wewe?
 
Last edited by a moderator:
Nazjaz ananiita taahira kwa sababu nilimkataa, hana lolote. mwaJ wewe niliona umewekewa limbwata na hujijui. cacico ndio kila kitu kwangu, licha ya kwamba kibabu Asprin anakaba hadi penalti wakati mtarimbo wake hauonyeshi ushirikiano na mwili wake.
Bujibuji sijawahi kusikia umeibua hata siku moja. Kila siku nakusikia ukilialia. mwaJ, cacico, Madame B na wengine wote wanakuogopa humu ndani. Tena nasikia huwa nalala mitaroni, umeenda kumlaza Paloma motto mitaroni, umemnywesha viroba, kazima, kwa kumpeleka huna, ukaenda kumnanilii mtaroni, sosoliso kawakuteni huko
 
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.

Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji

haaa! mi nilijua ni wewe!!!!!! nilitaka nianze kukushangaa...kumbe!
 
Bujibuji sijawahi kusikia umeibua hata siku moja. Kila siku nakusikia ukilialia. mwaJ, cacico, Madame B na wengine wote wanakuogopa humu ndani. Tena nasikia huwa nalala mitaroni, umeenda kumlaza Paloma motto mitaroni, umemnywesha viroba, kazima, kwa kumpeleka huna, ukaenda kumnanilii mtaroni, sosoliso kawakuteni huko

hahahahhaaaaaaaaaa..........hana lolote huyo Bujibuji! nilivostuka nilikuta kuna mtu anamvika suruali Bujibuji.........
 
Teh teh teh.. Nazjaz habari hizi wewe umezipata wapi jamani..?
 
Nazjaz kwani mambo ya ukweli ukweli yanaandikwaga huku JF? Ni amu peke yake amekuwa jasiri kama simba
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji sijawahi kusikia umeibua hata siku moja. Kila siku nakusikia ukilialia. mwaJ, cacico, Madame B na wengine wote wanakuogopa humu ndani. Tena nasikia huwa nalala mitaroni, umeenda kumlaza Paloma motto mitaroni, umemnywesha viroba, kazima, kwa kumpeleka huna, ukaenda kumnanilii mtaroni, sosoliso kawakuteni huko
Nazjaz kwani mambo ya ukweli ukweli yanaandikwaga huku JF? Ni amu peke yake amekuwa jasiri kama simba
 
Last edited by a moderator:
hahahahhaaaaaaaaaa..........hana lolote huyo Bujibuji! nilivostuka nilikuta kuna mtu anamvika suruali Bujibuji.........
Paloma ina maana ulikuwa chakari kiasi kwamba wewe mwenyewe ukaanza kujiona kama mtu mwingine?
Mbona ulikuwa stable, na wewe ndio uliyenishtua kuwa sosoliso kaja kutuchungulia?
 
Last edited by a moderator:
Paloma ina maana ulikuwa chakari kiasi kwamba wewe mwenyewe ukaanza kujiona kama mtu mwingine?
Mbona ulikuwa stable, na wewe ndio uliyenishtua kuwa sosoliso kaja kutuchungulia?

Mie nilisikia miguno ikabidi nisogee.. Duuh.. Niliyoyakuta balaa yaani.. Njaa zikiwauma ndo mnagumia vile Bujibuji & Paloma..?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe sio wewe?Ila hiyo iko poa tu, Nanihii nyingine zina sura mbaya bana kisa cha kunyimana amani?
 
khaaa eti sosoliso, nani alikuwa chakari kati yangu na Bujibuji?
kuwa mkweli hapa!
Paloma, mimi ndiye niliyeenda kukunywesha ili nimalizie sida zangu mtaroni, maana mwenye nyumba kaweka kufuli mlangoni hadi nilipe kodi yake ya mwaka.
Nilikuwa nimejipanga vizuri kabisa, nikabakisha na hela ya gesti. Tatizo lako unakula kama kiwavi, chips kuku wewe, mishikaki wewe, chips mayai wewe, mchemsho wa samaki wewe, mbuzi choma wewe, makange wewe, yaani ukamaliza vyakula vyote jikoni, wakipita wauza karanga unataka.
Kwa mpango huo ningekupeleka gesti gani ya ile chenji buku jero?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom