Naogopa kufanya mapenzi

Naogopa kufanya mapenzi

wanasema, dawa ya mechi mazoezi!! Mkuu hebu jaribu kupiga masturbation kwa muda upate confidence ya mechi
 
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.

Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji
Nanina zake, hiyo ndude ni ya kuanikia nguo ama?
 
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.

Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji
Mkuu naimani hili tatizo hukuzaliwa naloo limeanza hivi karibuni
Unaona aibu kwa mkeo kwa sababu hukuwa na hilo tatizo,
Nakushauri usione aibu ongea na mkeo umweleze tuu japo anaona kitu kimelegea kama utumbo ongea nae atakupa ushirikiano mambo yatakuwa vizuri

Hilo tatizo la kutaka kdu na wife wako alafu inalegea gafla unaanza kuingiza kwa kuishika ni aibu san

CHUNGUZA

☆kama unanyumba ndogo angalia je ukiwa kwake unakuwaje Na ukiwa kwa mkeo inakuwaje

☆Mwombe MUNGU sana kwani unaonekana ni kijana mdogo kupungua nguvu mapema ni noooma

☆jitahidi kula vyakula visivyo na mafuta mengi

☆fanya mazoezi
 
Dawa yake zimeni taa halafu mfanye utazoea halafu mtawasha taa utAkuwa unataka mpaka asubuhi ni nzuri gizani maana mpaka mpatane ni shughuli.
Sana aisew
 
Hivyo ni visa vya Bujibuji tu, hana lolote yaani mashine isimame halafu uogope kuingiza!!! Ni sawa na kusema yaani mimi ni dereva mzuri sana na nimeshaendesha magari mengi sana lakini siku hizi hata kama nina shida ya gari bora nitembee kwa mguu au nipande daladala kwa sababu naogopa kuingia barabarani!!!!!
Ni kweli nilishampata mtu wa hivyo mpaka umlazimishe ndio mzuka umpande unamshataki hata kwao
 
Back
Top Bottom