Mimi nasema unyimwe tu maana hakuna namna wewe si unaona UKAWA ndiyo mkeo
Mmmmmh
Hivi kuna mwanamke anayehatarisha ndoa yake kisa siasa ambayo haitomnufaisha chochote?????
Mimi nasema unyimwe tu maana hakuna namna wewe si unaona UKAWA ndiyo mkeo
Hata ingekuwa mimi ningekunyima.
Acha kudanganya umma wewe,mbona hujawahi kuninyima japo unajua mimi ni muumini wa UKAWA!!
Hivi mkuu kwani unyumba huwa unaomba au unauchukulia kama zawadi?Hii ni haki yako usipopewa unachukua kwa nguvu yeye aendelee na siasa zake huko.
na ukichukua kwanguvu umebaka mkuu!mambo hayo wote mridhiane so kulazimishana.
We dogo si nilishakukataza kunywa viroba mchana!! Umeaanza tena eti???
Kwani ina ATMHata ingekuwa mimi ningekunyima.