Nanyimwa unyumba kisa mimi ni mwana UKAWA

Nanyimwa unyumba kisa mimi ni mwana UKAWA

Mvizie akiwa kalala,mtupie dushe,taratibu utaona ana respond,wa wapi wewe,kazi ya sekunde 0,unakuja omba ushauri?? Eboooooo......
 
Hapo maana ake ametoa offer ya wewe kutafuta michepuko
 
Na unyimwe tu maana huna maana, sasa wewe ulikuwa mwana CCM ama mwana Lowasa? Pole sana mkuu Hedex, pamoja na yote hapo juu endelea kudai unyumba kwa mkeo maana ni haki yako
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe cjui una matatizo gani,unashindwa kumsapoti mkeo kwenye ubunge unasapoti chama,hata kama unaipenda ukawa lakin jifanye unamsapoti mkeo huku moyoni unajua utaipigia ukawa,,,mbona sisi wadada huwa tunaangalia mpira na tunasapoti timu za wanaume wetu ili hali hatuelewi chochote wala hata maana ya penati hatujui
 
ohoooo!!!!! hicho kishakua chakula cha hao shetan kijani shaur yko kalaga baho ndo endiketa hizo
 
MMMANDELAALIAMBIWA Acha guess kati ya ndoa na siasa Mwana ume akachagua siasa
 
kama umetandika mashuka ya ukawa , foronya zote ukawa!! unafikir kama yeye ni ccm hamu nawe itoke wapi?? watu wengine wakiwa na chama chao ndani ni stor hizo tuuu
 
Hahahaha hv vtu vpo jaman kuna wachumba wameachana nawajua ksa ucdm na uccm
 
Asanteni kwa mashauri yenu, nitayachuja na kuchagua which is best for me!
 
Kama umemuoa mbake

Habari zenu wakuu!!

Imepita takribani week tatu tokea mheshimiwa waziri mstaafu ENL ajiunge na UKAWA na kusema ukweli mimi ni mmoja wa watu niliyekuwa natamani na naendelea kutamani mheshimiwa Mamvi ashike hatamu ya urais wa nchi hii tokea akiwa CCM.

Sasa alivyohama CCM na mimi nilihama nae na kuwa Mwana Umoja Wa Katiba ya Wananchi. Tokea hapo shemeji na wifi yenu ameninunia kwa kuwa yeye ni mwana ccm na ni mgombea wa viti maalum mkoa fulani. Sipewi unyumba na ndani hatuongeleshani. Ila majukumu mengine anayatekeleza kama kawaida. Nimejaribu kukaa nae kuongea nae kwa kituo lakini hataki kabisa kuweka maelewano baina yetu.

Na mimi kama mwanaume nahitaji huduma ya mke wangu mpenzi. Hivyo basi wanabodi naombeni ushauri wenu nifanyeje na mimi siwezi kuitema UKAWA.
 
Back
Top Bottom