Nanyimwa unyumba kisa mimi ni mwana UKAWA

Nanyimwa unyumba kisa mimi ni mwana UKAWA

Mkishindwa wekeni bet tu kwamba atakayeshinda uchaguzi wa Rais apewe unyumba na mwenzie.
Expire Date ya Bet ni October 26 au 27 majibu tayatakapotoka.
Tehe tehe
 
Wewe mwanamme umerudi Ukwa kwa ajili ya El na yeye mke amebaki ccm kwa Makufuli,ngoma droo!
 
Back
Top Bottom