Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 512
Katika kuwa kwa extra curicullar activities baada ya kazi na uchovu mwingi nilikuwa naangalia cable-TV na nilipata kuwaona Beyonce Knowles and Alicia Keys. Swali ni Je kati ya hawa wawili nani ni mzuri kwa sura umbo na tabia zaidi kuliko mwingine? Nisaidieni Jibu tafadhali.