Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 280
Hivi kati ya huyu Taylor Swift na huyu Beyonce nani zaidi?
Moja nyimbo za Beyonce
Moja ya nyimbo za Tyler Swift
Moja nyimbo za Beyonce
Moja ya nyimbo za Tyler Swift
Labda beyonce wa mlela banaHujamtendea haki kabisa Bi. Beyonce Knowles Carter.....Damn!
Hako ka binti naona kapo over rated, vile watu hao wameamua kukap attention hadi kameshika watu. Ila BEYONCE, moto mwingine kabisa.KABLA YA KUJADILI WEKA NGOMA UNAZODHANI NI KAZI ZA Taylor swift za Beyonce ntaweka mimi
Mwambie huyo dogo mleta mada atuletee ngoma za hako kadada kanachotoa ulimi kama nyokaHako ka binti naona kapo over rated, vile watu hao wameamua kukap attention hadi kameshika watu. Ila BEYONCE, moto mwingine kabisa.
Pia, KANYE alishawahi fanya kitu hii, kumpandia Jukwaan Haka kadada, kalivyo chukua tuzo, haka sema hastahiliKuna tuzo moja kubwa alipewa Adele mbele ya Beyonce Adele akaikataa papo hapo akampelekea Beyonce akasema yeye hastahili hiyo tuzo na watoa tuzo wamekosea Beyonce anajua mara 100 kumzidi yeye Adele.
Sasa sijui Tahila Swift anaanzaje kkumfikia Beyonce.
Ilikua ni tuzo ya Grammy 2017 Album of The YearKuna tuzo moja kubwa alipewa Adele mbele ya Beyonce Adele akaikataa papo hapo akampelekea Beyonce akasema yeye hastahili hiyo tuzo na watoa tuzo wamekosea Beyonce anajua mara 100 kumzidi yeye Adele.
Sasa sijui Tahila Swift anaanzaje kkumfikia Beyonce.
BEYONCE:Hivi kati ya huyu Taylor Swift na huyu Beyonce nani zaidi?
😂😂 Dah! Eti Tahila Swift.Kuna tuzo moja kubwa alipewa Adele mbele ya Beyonce Adele akaikataa papo hapo akampelekea Beyonce akasema yeye hastahili hiyo tuzo na watoa tuzo wamekosea Beyonce anajua mara 100 kumzidi yeye Adele.
Sasa sijui Tahila Swift anaanzaje kkumfikia Beyonce.