Chacha Steven Mokiri
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 2,011
- 2,232
Hizo ni zile kubwa, kuna zingine ndogo ndogo kachukua nyingi sana.Na hizo ni records alizovunja akiwa hai. Najiuliza tu akifa inakuwaje kwa sababu, "people don't recognize you until you are dead".
Mfano ndogo ni Triple X. After getting shot and killed akapata na tuzo na mauzo yake ya Albums yakaongezeka.
Sio attention huyo mchumba ni hatari ameshakuwa threat kwa BeyonceHako ka binti naona kapo over rated, vile watu hao wameamua kukap attention hadi kameshika watu. Ila BEYONCE, moto mwingine kabisa.
Usimiambie humjua huyo mchumba utakuwa hufuatilia chat za muziki wala tuzo za mamtomiMwambie huyo dogo mleta mada atuletee ngoma za hako kadada kanachotoa ulimi kama nyoka
Kundi ambalo hawajui kuimbaMigos
Dua lipa mtt sana haweziingia hapo mzee mwaka juzi tu amechukua tuzo ya upcoming artist leo unampambanisha nahao watu kweli [emoji23][emoji23]Mada ingekuwa Katty Perry Vs Taylor Swit au Vs Dua Lipa
Sio Triple X tu even 2pac also nippes hustle too.Wick,
Na hizo ni records alizovunja akiwa hai. Najiuliza tu akifa inakuwaje kwa sababu, "people don't recognize you until you are dead".
Mfano ndogo ni Triple X. After getting shot and killed akapata na tuzo na mauzo yake ya Albums yakaongezeka.
weka records hapaUsimiambie humjua huyo mchumba utakuwa hufuatilia chat za muziki wala tuzo za mamtomi
[emoji115][emoji115][emoji115]Nadhani ukiangalia type ya mziki anaofanya Taylor Swift ni tofauti na ule wa Beyonce. My favourite Taylor Swift yupo Country pop rejea nyimbo kama You belong with me, love story, back December, Mean, wonderland, n.k kwenye blank space kidogo akaswitch lakini style iliyomtoa na ndo bado anashikilia no country pop, so sidhani kama ni sahihi kumshindanisha na Beyonce ambaye yupo kwenye RnB! My favourite Taylor Swift ashindanishwe na Katty Perry ambaye pia anafanya country pop. All in all Taylor Swift kwangu ni mkali sana kwa style yake ya mziki anayofanya. Namkubali sana yule Dada.
Mwana kashamaliza kila kitu hapo we siunasema humjui.weka records hapa
WEKA RECORDS, ZA TUZO, BILLBOARD CHATS, GRAMMY AWARDS,OSCAR AWARDS (IF ANY), BET NK[emoji115][emoji115][emoji115]Mwana kashamaliza kila kitu hapo we siunasema humjui.