Nani zaidi kati ya wordpress na Drupal?
Lets conclude that its not the cms, its the developer, kama unajua any of the two is good enough. Kama unajua php na uko tayari ku hack into wordpress' core, then u can make any kind of site with it, ingawa drupal already has cck, you can create different kinds of contents natively while u have to code custom post types in wp, so do the math.
Well, rather than concluding, let's me open the discussion. Inategemea unataka kutengeneza site ya aina gani, features gani unataka ziwepo kwenye hiyo site, n.k. Both wordpress and Drupal may serve for different purposes.
Hapa ninachoona ni watu kusifia kuwa CMS fulani ni zaidi ya nyingine. Lakini kama developer unayetengeneza sites kwa wateja wako ni muhimu kukumbuka kuwa siyo kila mtu ni tech savvy kama wewe.
Hata kama developer umekuta CMS fulani unayoipenda and work well for you, it doesn't matter at all unless kama unajitengenezea site yako mwenyewe.
Jambo la muhimu hapa ni kuangalia kama mteja wako ataweza kuitumia hiyo CMS kwenye site yake kama anavyotaka yeye ifanye kazi.
Kwa hiyo, itakuwa bora kwa afya yako kama utachagua CMS ambayo ina, kwa mfano, simple admin interface, hata kama ni kui-customise ili ikidhi mahitaji ya mteja wako.
Kwa mteja yoyote, usimruhusu an IT guy kukuchagulia CMS. Ni breed wachache wanaolewa coding na interface ambayo ni user friendly au itakayokidhi matakwa yako.
Aidha uwe ni kampuni kubwa au kikundi cha freelancers, it is imperative that whoever the Mac guy is among you, sign off on anything that the IT guy presents. Itakuumiza kichwa, lakini hakikisha kuwa CMS unayotaka kuitumia ina good user interface na inakidhi mahitaji yako.
This will save you a lot of pain in the ass, time and money in the long run. The aim should be to contact your tech savvy once in while na siyo kila wakati. They will be making money, you will be losing even more money.
Kama umejikuta katika hali ambayo utahitaji coder to build the functionality of your site for you, then kwanza kabisa mpatie your tech savvy orodha ya mahitaji yako ili yeye akupatie options za CMS zinazoweza kukudhi mahitaji yako.
Tech savvy wako akupe faida na hasara za kila CMS objectively na siyo kupendelea CMS anayoipenda yeye.
Mteja kumbuka ushabiki wa kwenye CMS hauna tofauti na ule wa kwenye soka. Rather than being objective, ushabiki huu uko too personal. Mtu atakuambia kuwa Arsenal inacheza vizuri kuliko Manchester Utd, lakini ukweli utabakia kuwa Arsenal haijawahi kushinda ligi karibu miaka 10 sasa.