Nani zaidi kati ya Wordpress vs Drupal ?

WORDPRESS VS DRUPAL VS EE VS ARTISTEER.

Okay, tuachane na maaajabu ya maji, Website ya Taifa na hiyo Flash website ya waKenya. Weka anuani ya website uliyotengeneza wewe sasa.

Fadhili Paulo, let me ask you a question, if you were a client, would you pay money for that site? and by the way if i press F12, i can still see the markup of your site, artisteer generated theme. You need to do a lot of work before you can consider yourself a website/theme designer my friend.

Angalia tu mifano ya hawa jamaa Skyline Design | Web + Branding + Apps or this guy - Personal Website of Stephen Gacheru (hao ni wa hapo kenya tu, sijapata wa tanzania because i think bado sijaona hapa bongo, mi siwezi kujiweka maana that will be bragging) now compare their work with yours and think again, simaanishi vibaya, i just want you to take a reality check and start working hard maana there's a reason this site here National Website of the United Republic of Tanzania is so ugly because people who call themselves designers wanapewa kazi kwa kujuana then wanatengeneza vitu vya kutisha.

If you want designing to be your job, then there's no shortcut, you need to work your ass off, achana na those artisteer or any shortcut my brother.
 
Fadhili Paulo na zech nahisi mnaanza kupoteza muelekeo maana mmeanza sasa kuoneshana nani zaidi ya mwenzie. sijui kama kuna atajifunza kitu kutoka kwa meingine. ni vigezo vinatumika kuonesha tovuti imejengwa na wewe? unaweza tovuti yako ni bora kuliko ingine? muonekano wa.nje tu? kama mna jeuri kubalini challenge yangu, niwape task, niwape muda kisha kisha kila mmoja apresent kazi yake hapa na watu wapige kura tupate mshindi?
 
Last edited by a moderator:
WORDPRESS VS DRUPAL VS EE VS ARTISTEER.

Okay, tuachane na maaajabu ya maji, Website ya Taifa na hiyo Flash website ya waKenya. Weka anuani ya website uliyotengeneza wewe sasa.

Hiyo website sio ya flash kijana, that's just an animated gif, pia hao jamaa wa hiyo site unayosema ni flash, they are wordpress designers na hadi kwenye wordcamp (i don't know if you know what wordcamp is) jamaa mmojawapo alifanya presentation. I hope you had time check their work. Okay back to your question, you want to see something i have done, try this one D'Souza & Company Advocates, that's one of my work
 
Okay, subiri, nitakujibu tena. Nitakujibu asubuhi 29.07.2013 tafadhali.

Hiyo website sio ya flash kijana, that's just an animated gif, pia hao jamaa wa hiyo site unayosema ni flash, they are wordpress designers na hadi kwenye wordcamp (i don't know if you know what wordcamp is) jamaa mmojawapo alifanya presentation. I hope you had time check their work. Okay back to your question, you want to see something i have done, try this one D'Souza & Company Advocates, that's one of my work
 
Fadhili Paulo na zech nahisi mnaanza kupoteza muelekeo maana mmeanza sasa kuoneshana nani zaidi ya mwenzie. sijui kama kuna atajifunza kitu kutoka kwa meingine. ni vigezo vinatumika kuonesha tovuti imejengwa na wewe? unaweza tovuti yako ni bora kuliko ingine? muonekano wa.nje tu? kama mna jeuri kubalini challenge yangu, niwape task, niwape muda kisha kisha kila mmoja apresent kazi yake hapa na watu wapige kura tupate mshindi?

Mimi nimemuonesha sites ambazo sio zangu ila ni za watu ambao mim najua ni wordpress developers wa kutoka kenya, ila yeye ametaka pia nioneshe kazi niliyofanya mimi ambapo nimempatia link. Kujibu swali lako, yes you can learn something by looking at somebody's work, you get inspiration, all the best designers do this, ukiona kazi ya mtu mwingine inaweza kukupa inspiration na wewe ukajifunza vitu.

About your chellenge, kama ni ya kudesign mimi sintofanya maana i have deadlines za clients na wala sipendi kushindana na mtu.
 
Na hii pia.

Mkuu C6 nataka nikutumie picha na logo kwenye mail yako unipigie banner bling bling niweke kwenye site yangu ya niliotengeneza kwenye Wordpress
 
Last edited by a moderator:
Mkuu C6 nataka nikutumie picha na logo kwenye mail yako unipigie banner bling bling niweke kwenye site yangu ya niliotengeneza kwenye Wordpress

nicheki chemba tafadhari
 
Last edited by a moderator:
wordpress ya ukweli lakini haiingii kwa cms inaitwa phBB, inasupport hata wordpress_plugins.. Pia uloki modded ina features nyingi kuzidi wordpress..
Tchaoo..

phbb si ni ile bulletin board ya mwaka 47? niliitumia wakati nimeanza kuzijua pre made php scripts
 
Nimekubaliana na wazo lako. Tufanye sasa fadhili paulo vs Zech. Naomba kwanza mwenzangu naye awe verified user kama nilivyo mimi maana yeye anahofia privacy yake wakati mimi nipo verified na hapa ameanza kuiponda hata website ya Taifa, ananitakia nini huyu?.

Mimi nitai-redesign D'Souza & Company Advocates na yeye atai-redesign maajabu ya maji na watu wapige kura.

Kajitahidi sana kuelezea nini kinachoendelea hapa mkuu EMT lakini yeye hakuna alichoelewa, nikamwambia lugha gongana bado hakuelewa. Okay twende:

fadhili paulo vs zech

NA NISEME WAZI KUWA MIMI HUMU HUWA SIINGII KUPIGA STORI, YAANI NIKIBAHATIKA KUINGIA HUMU NAJIONA NIMEINGIA OFISINI.

Fadhili Paulo na zech nahisi mnaanza kupoteza muelekeo maana mmeanza sasa kuoneshana nani zaidi ya mwenzie. sijui kama kuna atajifunza kitu kutoka kwa meingine. ni vigezo vinatumika kuonesha tovuti imejengwa na wewe? unaweza tovuti yako ni bora kuliko ingine? muonekano wa.nje tu? kama mna jeuri kubalini challenge yangu, niwape task, niwape muda kisha kisha kila mmoja apresent kazi yake hapa na watu wapige kura tupate mshindi?
 
about your chellenge, kama ni ya kudesign mimi sintofanya maana i have deadlines za clients na wala sipendi kushindana na mtu.

nimekubaliana na wazo lako. Tufanye sasa fadhili paulo vs zech.

Mimi nitai-redesign d'souza & company advocates na yeye atai-redesign maajabu ya maji na watu wapige kura.

Okay twende:

Fadhili paulo vs zech

kama zech atakubali, sitawapa challenge ya kuredesign site ya mpinzani wako. Ila nitawapa challenge ambayo mtafanya task moja kila mtu in separate area, ntawapa space, ntawapa kila kitu mnachohitaji, litakuwa zoezi simple baada ya muda mtakuja hapa watu watawajudge,

lengo langu ni kuondoa ubishi wa maneno na kuona uwezo wenu kwa vitendo. Hii itakuwa ni kazi ya jioni ukimaliza kazi zako zinazokuweka mjini.

Mko tayari?
 
Last edited by a moderator:
Nimekubaliana na wazo lako. Tufanye sasa fadhili paulo vs Zech. Naomba kwanza mwenzangu naye awe verified user kama nilivyo mimi maana yeye anahofia privacy yake wakati mimi nipo verified na hapa ameanza kuiponda hata website ya Taifa, ananitakia nini huyu?.

Mimi nitai-redesign D'Souza & Company Advocates na yeye atai-redesign maajabu ya maji na watu wapige kura.

Kajitahidi sana kuelezea nini kinachoendelea hapa mkuu EMT lakini yeye hakuna alichoelewa, nikamwambia lugha gongana bado hakuelewa. Okay twende:

fadhili paulo vs zech

NA NISEME WAZI KUWA MIMI HUMU HUWA SIINGII KUPIGA STORI, YAANI NIKIBAHATIKA KUINGIA HUMU NAJIONA NIMEINGIA OFISINI.

Haha, seriously Fadhili you are challenging me to re-design that site? i can code that page in an hour my friend, tena i can add extra, i will make it responsive and i will also do it in wordpress kama unataka, challenge accepted.
 
Haha, seriously Zech you are challenging me to re-design that site? i can code that page in an hour my friend, tena i can add extra, i will make it responsive and i will also do it in wordpress kama unataka, challenge accepted.

Haha, seriously Fadhili you are challenging me to re-design that site? i can code that page in an hour my friend, tena i can add extra, i will make it responsive and i will also do it in wordpress kama unataka, challenge accepted.
 
Nipo tayari muda wowote.

kama zech atakubali, sitawapa challenge ya kuredesign site ya mpinzani wako. Ila nitawapa challenge ambayo mtafanya task moja kila mtu in separate area, ntawapa space, ntawapa kila kitu mnachohitaji, litakuwa zoezi simple baada ya muda mtakuja hapa watu watawajudge,

lengo langu ni kuondoa ubishi wa maneno na kuona uwezo wenu kwa vitendo. Hii itakuwa ni kazi ya jioni ukimaliza kazi zako zinazokuweka mjini.

Mko tayari?
 
kama zech na Fadhili Paulo mko tayari, natengeneza environment ili jioni nianzishe uzi mpya kwa ajili yenu, ntawapa sheria za mchezo n mu enjoy the thing, how vipi? mwisho kelele zitaisha, atakaeshindwa aache ubishi
 
Last edited by a moderator:
kama zech na Fadhili Paulo mko tayari, natengeneza environment ili jioni nianzishe uzi mpya kwa ajili yenu, ntawapa sheria za mchezo n mu enjoy the thing, how vipi? mwisho kelele zitaisha, atakaeshindwa aache ubishi

Let me ask a question, tunashindana ila ku-prove nini? what are supposed to achieve here?
 
1. kubishana kwa porojo, ni jukwaa la chitchat, huku tun!bishana kwa facts na vitendo.

2. wewe zech umeonesha (ni mjuzi sana wa ujenzi wa tovuti) ila Fadhili Paulo nae anabisha...

3. ubishi uishe lazima mmoja akubali, atakubali vipi? lazima tuwasubject kwenye mazingira ya kufanana, mi ntakuwa refarii, uwanja utakuwa wangu, kila mtakachohitaji ntawapa(kufullfill hii challenge) ili huu ubishi uishe

ila zech kama unaona huwezi kujenga tovuti, kubali yaishe hapahapa, na ubishi wenu uishe. na ziwe tu porojo za chitchat
 
Kwanza kabisa, naomba msinielewe vibaya kwa kukataa hii challenge kwa sababu, when i work i get paid, na hii challenge hata kama nikishinda itakua haina faida kwangu zaidi ya pride, and i am not after that here. so that being the case this is my concession speech

"Naomba nikubali hapa hapa, Fadhili Paulo (Verified User) anaweza kudesign websites kuliko mim Zech na nikijaribu kushindana naye atanishinda vibaya sana!(no pun intended)

Ubishi umeishia hapa, tuendelee kudiscuss issue nyingine au Fadhili bado unataka ku prove kwa vitendo kabisa?"

Signed...sealed...delivered by Me.:yield:
 
Back
Top Bottom