Nani zaidi kati ya Wordpress vs Drupal ?

Nani zaidi kati ya Wordpress vs Drupal ?

mi sijui kucode na ni mvivu wa kuzisoma, watu wanatengeneza themes na kama alivosema c6 support ipo so sio lazma kila mtu ajue kucode

Ukiwa unajua ya kuwa sijui ku code lakini nina u wezo wa ku download free templates, free plugins, utaweza kunipa tenda ya kutengeneza website? Sababu ili kufikia customers at some point lazima ufanye coding kwenye themes au hata kwenye plugin kufanya tweeks ku meet clients need.
 
Mkuu,
Ni kweli kuna watu wanadownload themes za watu wengine na kuzicustomize, siyo dhambi na wala haikataliwi na haikuanzia Tanzania ilianzia marekani na marekani ndiyo waliogunduwa internet sasa sijuwi wewe kutoka tz umegunduwa html??!!. ILA MIMI HUWA NAZI-DESIGN MWENYEWE MWANZO MWISHO, KAMA UNATAKA USHAHIDI SEMA.

KUHUSU WORDPRESS VS DRUPAL, Siku zote jibu ni wordpress ndiyo ipo juu, ni ngumu ku-compare wordpress na drupal labda ufanye wordpress vs joomla. Kuna kisa mpaka mimi nikaamua kuleta hii mada hapa.

Mimi kabla ya kujifunza wp kwanza nilijifunza html ila sishauri mtu kupoteza muda kujifunza html kwa sababu hakuna sababu.

Pia kiongozi jitahidi kuongeza idadi ya post maana tangu ujiunge January 2011 una post 12 tu, una likes 1 ambayo nimekupa mimi na wewe ulimpa sijui nani 1 tu. Ni ushauri tu usirushe mawe.

Sijaona suala la posts na likes za @zech zinaingiliana vipi na topic
 
Correction Sir. Ili uwe programmer mzuri lazima kwanza uilewe na uikariri. Kama programming sio kukariri basi njoo nikusimulie programming kama hadithi halafu nikupe kazi ya kuchapa code tuone kama utaweza.

Ukijua maana ya kukuriri (definition) nadhani utabadili msemo wako. For the record wanyama kama mbwa, paka na other pets wana kariri hawaelewi. kwa hiyo mbwa anaweza kuwa programmer
 
Ukijua maana ya kukuriri (definition) nadhani utabadili msemo wako. For the record wanyama kama mbwa, paka na other pets wana kariri hawaelewi. kwa hiyo mbwa anaweza kuwa programmer

Mkuu, hivi unajua kweli kusoma au macho yako ni vidonda? Soma vizuri post yangu, uielewe na ndipo ujibu na sio kukurupuka kama mtu aliyeshituka kutoka usingizini.
 
Pigen code vijana from scratch....hizi CMS zinawawekea limit ya kufikir matokeo yke mnadumaa kimawazo
 
watu wengi mnaojifanya mnatengeneza kwa kutumia wordpress / joomla / drupal etc hapa bongo (almost all of you) hamna zaidi mnachofanya zaidi ya kudownload themes za watu wengine na na kuweza content then mnasema eti mna design, c'mon we need to be serious, kama umeamua kudesign iwe professional yako put in some work.

I agree with that guy anayesema kujua kucode is better than using those tools ingawa sikubaliani naye kabisa kwa sababu sometimes to handcode a website could be an overkill, its like unataka kuua mende na nyundo while you have tools like wordpress etc ambazo zinaweza fanya kazi yako kwa urahisi. My advice, learn how to design, then kama unataka kutumia wordpress learn how to use your own theme, usidownload. Mimi ni web developer so i know what i'm talking about, i have used both wordpress, drupal and now i use expressionengine which in my opinion is the best cms out there and i also code when necessary.

To answer your question:- Wordpress vs Drupal, when it comes to power / capability drupal is more powerful than wp however wordpress is easy to use and has a very nice backend but you need to hack it sana ili uweze kuifanya iwe kama full cms, and you can acomplish basic tasks hata kama haujui php sana. Drupa is more of a cms than wp
I agree. It depends on what you wanna build. But also, it depends on the client that you are handling. jamaa anakupa laki 3, and you want to design from scratch. am not sure if its a worthy investment. Sometimes the likes of Divi and the Genesis framework make life so so easy. you get a stock theme and with a little tweaking you are ready to go

I use drupal for systems where I work, and its amazing.
 
Back
Top Bottom