zech
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 455
- 372
na design sio kujua design ni kipaji. unaweza jua tumia software zote na output yako ikawa mbovu. na mwengine hata mouse hajui kushika lakini akimwelekeza tu mtu anatoa kitu kizuri.
kwa experience yangu madeveloper wengi sio madesigner na developer anapoingia kwenye ubishi huu basi anataka na yeye kudesign mwenyewe (sababu ame ignore kazi ya designer) hii inasababisha muonekano wa kazi ya developer kuwa sio mzuri na kazi yake kutofanikiwa. na designer naye anapopata kichwa anataka adevelop wakati si kazi yake mwisho wa siku anatoa kitu na bugs kibao
nenda store za app store, play store na wp store angalia vitu kama temple run game bovu zaidi kupata kutokea (kicode) lakini linapendwa dunia nzima.
designing ingekua kipaji then watu wangekua hata wakijifunza vipi hawawezi, acha nikupe mfano halisi, nilikua sijui kabisa kudesign, my first ever client alinipa kazi ya web designing nikamtafuta mshikaji wangu aliyekua anadesign websites nikampa hiyo kazi anisaidie, mteja aliipenda website lakini mimi nikawa naona kama sio nzuri,kwa sababu i was trying to compare it with the best websites nazoziona online, so nikaamua kujifunza kwa kutumia internet, i went through a lot of design blogs, learned everything i possibly could hadi nikajua ku design, then nikajifunza kudesign kwa kutumia cms, i started with wordpress mpaka nikaweza, programming pia sio kipaji hata DHH, anasema there's no such thing as a pure programmer. Kila kitu ni kujituma tu hakuna kipaji wala nini, mfano (from March this year to June nimejifunza a new programming language mpaka nimeiweze, mwenye just by using the internet) its not rocked science my friend, its just hard work.
A big problem most developers make is ignoring the designing part thinking its for weak people, there's a reason javascript haikua inaheshimika, ni kwa sababu programmers used to think its not important because its for designers, lakini sasa hivi, ukimuuliza mtu yoyote ambaye ni software developer kuhusu javascript atakuambia ni muhimu sana kuijua especially kutokana na these libraries like (Node js, backbone, angular, ember etc).