Nani yupo Sky Lounge saa hii.....?

Nani yupo Sky Lounge saa hii.....?

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
Ni ijumaa.....w/end.....maisha yenyewe ndo haya....kila leo bora ya jana....wayiiii.....njoo tuweke shida chini tunyanyue mikono
juu.....vinywaji vyote vimepoa.....karibu.....
 
Ikoje hapo? kama hakuna gesti watu wengine hawaji..................... watu hawataki shida bana wanataka kugandana tuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!
 
Duh we mkare
Ikoje hapo? kama hakuna gesti watu wengine hawaji..................... watu hawataki shida bana wanataka kugandana tuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!
 
Gest hauz ipo Mungi. Polite note; only couple allowed.
 
Last edited by a moderator:
Nyoosha Mkono Ulipo Niko pande hizi karibu na mlango....Yeboooo....
 
Ndio natoka kwa ofisi. Nitakuja pande hizo! Niagizie ndovu ya moto kaunta!
 
Baada ya kusema hayo, Akakata roho.

Hivi leo si ndio ijumaa kuu?
 
Baada ya kusema hayo, Akakata roho.

Hivi leo si ndio ijumaa kuu?

Na hilo ndilo neno la bwana.... Bwana awe nanyi... Inueni mioyo... Haya mopia Asprin atufungie kwa sala.
 
Last edited by a moderator:
hiyo Sky Lounge ipo mbinguni???
 
Back
Top Bottom