Nani yupo Sky Lounge saa hii.....?

Nani yupo Sky Lounge saa hii.....?

Inakuaje wengine hua hatunywagi mpaka tufumanie mialiko!
Na bia mbili tu nikimeza hua siwezijua njia ya home, itakuajekuaje asa? Pakumbonji !
 
Inakuaje wengine hua hatunywagi mpaka tufumanie mialiko!
Na bia mbili tu nikimeza hua siwezijua njia ya home, itakuajekuaje asa? Pakumbonji !

juu ya nini.....utalala kwangu....
 
Hapana ........................... ila wanapenda kugandana
Ugandane na kitu kama hii si Neema tu.

attachment.php
 
Tena ntaomba huyo mume wake afunge safari ya mbali atuache tumegandana hata mwezi,mzee mzima nachochea tu ndani kwa ndani....
Uzuri ile makitu haifanyi kazi unapohamia eateli ila tu kama unaendekeza hii makitu..... Hebu angalia hii xtreme 0713, kwanini tusigandiemo??

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom