Hakuna sheria iliyofuatwa hapo.Utavuna ulichopanda...hakuna uhuni hapo. Acha sheria zifate mkondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ndio chadema mnapojifelisha mbele ya Jamii.Malipo ni hapa hapa duniani. Yeye alipokuwa akienda Arusha kutekeleza kazi za kiofisi naninalikuwa anampa kibali cha kutoka Hai. Hata Mama Anna alikuwa hapewi taarifa. Wacha naye anyee ndoo magereza yote. Na bado kesi za Boma zinamsubiri
Mbowe hajawahi kunyongwa labda kama ulimnyonga wewe na uchawi wako.!Kwa hiyo Mbowe alifufuka pale alipoachiwa?
Huyu mtetezi wa sabaya atakuwa miongoni mwa vile vianamke alikuwa anavinunulia Hennessy kwa pesa za wizi Pape the Don ClubYaani kwa uovu na unyama ule bado unapata muda wa kupoteza kuandika makala ndefu hivi ukimtetea na kumhurumia jambazi huyu??
Huwezi kutumia makosa kufuta makosa. Si sahihi kushangilia ukiukwaji wa sheria huku ukihubiri hicho hicho. Uzuri nchi hii siku atakuwa huru na kupewa madaraka! Shetani usimkemee huku unamchekea!Utavuna ulichopanda...hakuna uhuni hapo. Acha sheria zifate mkondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini jela atakuwa amekaa. Huyo alipenda kuwakosesha amani wenzake. Wacha na yeye alipiziwe. Cha muhimu kisasi kimelipwaNa hapo ndio chadema mnapojifelisha mbele ya Jamii.
Kwa mara nyingine huyu jamaa atawapiga chini tena.
Acha wamfumue marinda huko karanga,ujambazi wake ndio umemponzaJana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi,Arusha.
kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa.
Leo asubuhi tunasikia taarifa ya Sabaya kuhamishiwa alfajiri,kutoka Gerezani Kisongo,na kupelekwa Mkoa mwingine kwenda kufunguliwa mashitaka mengine.
Anapelekwa Gereza lingine na Mkoa mwingine bila hata taarifa za Removal Order ya mahakama kutolewa.
Pia mshitakiwa huyu alieko chini ya ulinzi kama Mahabusu,huko Kisongo,anahamishiwa mkoa mwingine bila hata wakili wake kupewa taarifa.
Huyu mtu sio mfungwa kwa sasa bali Mahabusu.
Tena ambaye hukumu yake ni mwezi wa sita huu siku ya tarehe 10.
Halafu amehamishwa kwenda mkoa mwingine,na kusomewa mashitaka ambayo hata hajawaji kuhojiwa au kutakiwa kutoa maelezo yake na vyombo husika hapo awali.
Je!
Anachokihubiri Rais Samia na yale yanayoendelea kwa watendaji wake vinafanana?
Je!
Ni nani yuko nyuma ya hii Project Sabaya?
Katika kesi aliyoachiwa huru tulisikia tuhuma za kaimu DPP Kweka.
Ambaye alihusishwa na Familia ya Mbowe kama mkwe wake.
Akihamishia makazi kwa muda pale Arusha kwa kuisimamia kesi ile.
Sasa tunalazimika kuamini kwamba haya mambo yamerudi na yanashamiri kwa kasi.
Time will Tell!
Mnyonge Mnyongeni Lakini Haki Yake Mpeni.