Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,570
- 45,983
Ukigeuka wanakuwa nyuma yako tena.
Ukigeuka wanakuwa nyuma yako tena.
WalatajasasuHabari za mda huu..bila kupoteza muda,nimekuwa mdau mkubwa wa makala za huyu gwiji wa habari za michezo kwenye magazeti na mitandao,yupo vizuri,yupo kisasa zaidi,he is very smart...
Huwa napatwa na maswali sana kwani mara kwa mara huzuru ughaibuni,mara belgium,holland,france,swis,spain n.k
Ni kazi/ofisi inamtuma kututafutia habari za sports au ndio utoto wa mjini na ile biashara nyeti? Zingatia kuwa sina wivu nae...Watoto wa mjini karibuni mtupe maujanja ili nasisi wa Kolomije tutoe tongotongoView attachment 1095078View attachment 1095080
Kimbelembele chako umeingia chakiume.Moja ya ahadi za kurudi CCM ni kupelekwa kwenye check up Ulaya
Alisemaje mkuuAfande Sele alishawahi kueleza kilichopo nyuma ya safari za hawa jamaa na pamoja ya Maulid wa Kitenge
Umaskini unakusumbua, wewe mtu akienda Ulaya tu unaanza kutafuta nani mzaminiHabari za mda huu..bila kupoteza muda,nimekuwa mdau mkubwa wa makala za huyu gwiji wa habari za michezo kwenye magazeti na mitandao,yupo vizuri,yupo kisasa zaidi,he is very smart...
Huwa napatwa na maswali sana kwani mara kwa mara huzuru ughaibuni,mara belgium,holland,france,swis,spain n.k
Ni kazi/ofisi inamtuma kututafutia habari za sports au ndio utoto wa mjini na ile biashara nyeti? Zingatia kuwa sina wivu nae...Watoto wa mjini karibuni mtupe maujanja ili nasisi wa Kolomije tutoe tongotongoView attachment 1095078View attachment 1095080
Tehila mzee baba anapenda kujipendekeza kwa Samatta utadhani wana undugu. Kujifanya eti anaenda kumsalimia mpaka aposti mitandaonj
Bora hata shombo yenyewe inanukia vizuriNi basi lakini kama angapata nafasi ya kukujibu yeye mwenyewe nadhani ungetamani kuhama nchi.
Huyu jamaa ana majibu ya shombo anaweza kukujibu jibu moja ukajiangalia hivi kweli viungo vyote vimekamilika?
ila mzee baba anapenda kujipendekeza kwa Samatta utadhani wana undugu. Kujifanya eti anaenda kumsalimia mpaka aposti mitandaonj
Yes, you canWapo watu wengi wanasafiri mara nyingi tu kwenda nchi mbalimbali ila kwakuwa hawajapost kwenye mitandao huwezi kujua!! Ukitaka kusafiri mara kwa mara hata kama ni mikoani angalia kwanza kazi unayofanya!