Nani yupo nyuma ya Safari za Edo Ulaya?

Hawa jamaa wamekula mikataba na makampuni yanayodili na soka mkuu.

Mfano wote wana shavu na DSTV, SportPesa etc na wanatangaza mechi za kimataifa kwa lugha ya Kiswahili kupitia SuperSport na channels mbalimbali.

Hardwork pays!
 
Habari za mda huu..bila kupoteza muda,nimekuwa mdau mkubwa wa makala za huyu gwiji wa habari za michezo kwenye magazeti na mitandao,yupo vizuri,yupo kisasa zaidi,he is very smart...
Huwa napatwa na maswali sana kwani mara kwa mara huzuru ughaibuni,mara belgium,holland,france,swis,spain n.k
Ni kazi/ofisi inamtuma kututafutia habari za sports au ndio utoto wa mjini na ile biashara nyeti? Zingatia kuwa sina wivu nae...Watoto wa mjini karibuni mtupe maujanja ili nasisi wa Kolomije tutoe tongotongoView attachment 1095078View attachment 1095080
Walatajasasu
 
Umaskini unakusumbua, wewe mtu akienda Ulaya tu unaanza kutafuta nani mzamini
 
ila mzee baba anapenda kujipendekeza kwa Samatta utadhani wana undugu. Kujifanya eti anaenda kumsalimia mpaka aposti mitandaonj
 
Ni basi lakini kama angapata nafasi ya kukujibu yeye mwenyewe nadhani ungetamani kuhama nchi.
Huyu jamaa ana majibu ya shombo anaweza kukujibu jibu moja ukajiangalia hivi kweli viungo vyote vimekamilika?
Bora hata shombo yenyewe inanukia vizuri
 
ila mzee baba anapenda kujipendekeza kwa Samatta utadhani wana undugu. Kujifanya eti anaenda kumsalimia mpaka aposti mitandaonj

Mkuu, ukiwa na roho ya kibepari KUJIPENDEKEZA (kwa wadau muhimu wa maendeleo) ni kitendo chenye manufaa makubwa sana.
 
Wapo watu wengi wanasafiri mara nyingi tu kwenda nchi mbalimbali ila kwakuwa hawajapost kwenye mitandao huwezi kujua!! Ukitaka kusafiri mara kwa mara hata kama ni mikoani angalia kwanza kazi unayofanya!
Yes, you can
FB_IMG_1535288882098.jpeg
 
Huyo sio role model wako. Km angekua usingeanza chokochoko. Au sheikh una mambo ya mombasa?!!
 
Back
Top Bottom