Nani yuko nyuma ya hawa wachina? Tunamfukuza mwizi huku tumeacha mlango wazi

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,179
2,004
Tunajua sheria zetu zinamtaka raia wa kigeni ili afanye kazi nchini ni lazima kazi hiyo ikose mtaalamu mzawa wa kuweza kuimudu kufanya.

Ninachoshangaa kwenye miradi ya barabara wachina wanaendesha malori ya mchanga, wachina wanaendesha biashara ndogo ndogo(umachinga) huku serikali ikiwatazama tu.

Wachina Wamejazana kila kona tena sina hakika kama wote wana kazi maalumu ya kufanya, huku serikali imekaa kimya.

Tunakumbuka hata Ulaya wanavyoingia wahamiaji wanaotoroka nchi zao kaskazini na mashariki ya kati raia wao wamekuwa wakali kukataa wahamiaji wa aina hiyo kwa kutetea ajira zao kuporwa na wageni,

nashauri mapema kuepusha kama yale ya Afrika kusini walipowakatalia raia wa kigeni(tena weusi wenzao) na kuwataka warudi kwao kwa nguvu,

wachina wamekuwa jeuri, wanapiga raia hovyo, wanapiga askari, wanakiwa ni wahujumu wa maliasili zetu, utoroshaji wa pembe za ndovu, biashara za magendo. uvuvi haramu ktk bahari yetu na ujanja ujanja wa kila aina.

Tunahitaji diplomasia imara, lakini si kwa hali ilivyo sasa kwa raia wa uchina wanaomiminika nchini.

Tusikomae Kumfukuza mwizi huku tukiwa tumeacha mlango wazi.
 
Umenena ndo wafadhili wa chama chetu.Bora tembo waishe lkn tundelee kuwa madarakani!!!!!
 
Mbona Uchina kuna waswahili wanafanya ujanja ujanja na umachinga kama Wachina wanavyo fanya hapa kwetu, kuhusu Wachina kuwapiga waswahili sisi ndiyo wa kulahumiwa - mtu na akili zako timamu unawezaje kunyanyaswa na wageni kwenye Nchi yako, hata kama huna nguvu ya kupigana nao kwa nini ushindwe kukusanya wenzako wakakusaidia kuwapa Wachina fundisho!! Wachina wakijua Watanzania wana umoja linapo kuja suala la kupigwa hovyo awawezi kuwa na jeuri ya kuwachokoza/piga Watanzania?
 
WALE WALE
 
Mikianza kupigana kumpiga mchina, kesho wasukuma wata ungana kumpiga mkurya, wakurya wata ungana kumpiga mhaya c ita kua vita sasa
 
Watafute Uhamiaji mpige deal... Kamata fursa waukae, Beno Ndullu ka sema hela za mkato hakuna tena!
 
Ukienda huko China wapo machangudoa,dadapowa,makahaba waTz wengi nap wanatoa huduma bila kubuhhudhiwa.... sasa lete hoja ingine!!'

huo ni mkataba kati ya TZ na CHN !!
 
Kuna siku nilishuhudia mchina ambaye ni mmilikiki wa new force anampiga mtanzania (konda force) mbele ya watanzania wenzie lakin yule mtz aliogopa kumshitaki yule mchina akiogopa kufukuzwa kazi niliumia sana kuona ivyo
 
Mikianza kupigana kumpiga mchina, kesho wasukuma wata ungana kumpiga mkurya, wakurya wata ungana kumpiga mhaya c ita kua vita sasa

Mkuu nakushauri utafakali kinacho zungumzwa hapa, haya mambo ya kurudia kauli za the late J.K Nyerere zitakusaidia nini - kama una cha kuchangia pitia tu - kwa nini unataka ku derail mada.

Labda nikusaidie mleta mada amelalamikia mambo mengi kuhusu Wachina baadhi ya malalamiko ni kuhusu Wachina kuwa na tabia ya kupiga piga Watanzania ovyo mpaka wakati mwingine wanafikia hatua hata ya kupiga Polisi!! Mimi nikasema wa kulahumiwa ni sisi Watanzania kwa kuwachekea Wachina wanapo fanya ukatili huo - lakini Watanzania wakatika kukomesha ujinga huo mbona ni kazi ndogo tu wakamate Wachina wenye tabia hiyo wawafunge kamba mikono na miguu wawapige mikono na miguu wasiwauuwe - alafu waachilie waende kuadithia wachina wenzao, Wachina wakijua Watanzania wana umoja linapokuja saula la uchokozi/kupiga raia ovyo - hawawezi kurudia kuwapiga ovyo Watanzania, sasa wewe sijui unaleta adithi gani - yaani unataka kutetea wageni ambao hawana adabu.
 
Kuna siku nilishuhudia mchina ambaye ni mmilikiki wa new force anampiga mtanzania (konda force) mbele ya watanzania wenzie lakin yule mtz aliogopa kumshitaki yule mchina akiogopa kufukuzwa kazi niliumia sana kuona ivyo
Njaa aisee
 
Mkuu nakushauri utafakali kinacho zungumzwa hapa, haya mambo ya kurudia kauli za the late J.K Nyerere zitakusaidia nini - kama una cha kuchangia pitia tu - kwa nini unataka ku derail mada.

Labda nikusaidie mleta mada amelalamikia mambo mengi kuhusu Wachina baadhi ya malalamiko ni kuhusu Wachina kuwa na tabia ya kupiga piga Watanzania ovyo mpaka wakati mwingine wanafikia hatua hata ya kupiga Polisi!! Mimi nikasema wa kulahumiwa ni sisi Watanzania kwa kuwachekea Wachina wanapo fanya ukatili huo - lakini Watanzania wakatika kukomesha ujinga huo mbona ni kazi ndogo tu wakamate Wachina wenye tabia hiyo wawafunge kamba mikono na miguu wawapige mikono na miguu wasiwauuwe - alafu waachilie waende kuadithia wachina wenzao, Wachina wakijua Watanzania wana umoja linapokuja saula la uchokozi/kupiga raia ovyo - hawawezi kurudia kuwapiga ovyo Watanzania, sasa wewe sijui unaleta adithi gani - yaani unataka kutetea wageni ambao hawana adabu.
Cjatetea ila jua mkianza ivo na hata uko China wapo Watanzania wakifanywa ivo itakuaje? na kubali kataa hio tabia ya kuungana kumpiga mtu ina ambukiza ni laana kma una bisha engalia South Sudan unless unataka tubishane
 
Mbona Uchina kuna waswahili wanafanya ujanja ujanja na umachinga kama Wachina wanavyo fanya hapa kwetu, kuhusu Wachina kuwapiga waswahili sisi ndiyo wa kulahumiwa - mtu na akili zako timamu unawezaje kunyanyaswa na wageni kwenye Nchi yako, hata kama huna nguvu ya kupigana nao kwa nini ushindwe kukusanya wenzako wakakusaidia kuwapa Wachina fundisho!! Wachina wakijua Watanzania wana umoja linapo kuja suala la kupigwa hovyo awawezi kuwa na jeuri ya kuwachokoza/piga Watanzania?

Ww unajua mtu mgeni hawezi kumiliki duka au apartment china? Wabongo wanaoishi china wanaakaa hotelini na hawana maduka kule kazi yao ni kuchukua order za wabongo na kuwanunulia kwa wachina na kusafirisha bongo,umeshawahi ona guangzhou kuna duka hata moja linamilikiwa na mgeni? Wanageria wenye maduka pale Guangzhou wanamademu wa kichina so wanatumia mpenz wake mchina then anapata duka bt hatasiku moja huwezi mkuta mnageria anauza duka hata liwe lake,kuna ubaguzi sana kule,lakin cha kushanngaza hapa kwetu mchina anafungua duka kariakoo na kufanya biashara bila shida yoyote, wakati serikali yao inawalinda sana wananchi wao ndio maana wageni hawapewi chance ya kumiliki duka wala apartment wakati serikali yetu inawakaribisha bila shida
Inauma sana ukiangalia nchi masikini sana na bado sera zetu zinadi kutukandamiza na kusupport wageni,hawa viongozu wetu dah!
Mfano pale kariakoo kuna wachina wanamaduka ya accessories wanauza bei ya china coz wanachukua kwao kwa mkopo na wanaenda kiwandani kabisa wakati mbongo huwezi kununua vitu kiwanda moja kwa moja wanataka kuwauzia wachina wezao then hao watuuzie sisi tukienda pale guangzhou, sasa mchina wa bongo anaenda moja kwa moja mpaka kiwanda na anapata mzingo kwa mkopo,hutaweza kushinda nae bei akiuza hapa bongo
Mm nafanya iyo biashara baada ya kuona ajiri ni kichaa lakin seriakali yangu inacha hawa wachina wachukue biashara zetu then sisi tukae tu inauma sana,tunaishi kwenye nchi yetu kama wakimbizi inauma sana "][/URLa]mkuta mnageria anauza duka hata liwe lake,kuna ubaguzi sana kule,lakin cha kushanngaza hapa kwetu mchina anafungua duka kariakoo na kufanya biashara bila shida yoyote, wakati serikali yao inawalinda sana
wananchi wao ndio maana wageni hawapewi chance ya kumiliki duka wala apartment wakati serikali yetu inawakaribisha bila shida
 
Ww unajua mtu mgeni hawezi kumiliki duka au apartment china? Wabongo wanaoishi china wanaakaa hotelini na hawana maduka kule kazi yao ni kuchukua order za wabongo na kuwanunulia kwa wachina na kusafirisha bongo,umeshawahi ona guangzhou kuna duka hata moja linamilikiwa na mgeni? Wanageria wenye maduka pale Guangzhou wanamademu wa kichina so wanatumia mpenz wake mchina then anapata duka bt hatasiku moja huwezi mkuta mnageria anauza duka hata liwe lake,kuna ubaguzi sana kule,lakin cha kushanngaza hapa kwetu mchina anafungua duka kariakoo na kufanya biashara bila shida yoyote, wakati serikali yao inawalinda sana wananchi wao ndio maana wageni hawapewi chance ya kumiliki duka wala apartment wakati serikali yetu inawakaribisha bila shida
Inauma sana ukiangalia nchi masikini sana na bado sera zetu zinadi kutukandamiza na kusupport wageni,hawa viongozu wetu dah!
Mfano pale kariakoo kuna wachina wanamaduka ya accessories wanauza bei ya china coz wanachukua kwao kwa mkopo na wanaenda kiwandani kabisa wakati mbongo huwezi kununua vitu kiwanda moja kwa moja wanataka kuwauzia wachina wezao then hao watuuzie sisi tukienda pale guangzhou, sasa mchina wa bongo anaenda moja kwa moja mpaka kiwanda na anapata mzingo kwa mkopo,hutaweza kushinda nae bei akiuza hapa bongo
Mm nafanya iyo biashara baada ya kuona ajiri ni kichaa lakin seriakali yangu inacha hawa wachina wachukue biashara zetu then sisi tukae tu inauma sana,tunaishi kwenye nchi yetu kama wakimbizi inauma sana mkuta mnageria anauza duka hata liwe lake hawezi kukaa dukani yeye nakaa nje a demu wake mchina ndio anauza na kuoneka lake bila Ivyo hawezi miliki duka china,kuna ubaguzi sana kule,lakin cha kushanngaza hapa kwetu mchina anafungua duka kariakoo na kufanya biashara bila shida yoyote, wakati serikali yao inawalinda sana wananchi wao ndio maana wageni hawapewi chance ya kumiliki duka wala apartment wakati serikali yetu inawakaribisha bila shida
 
Ulicholonga ni kweli. Kuna place mpaka mlinzi ni mchina. .. Sasa hawa kina shivo naona wametutawala mpaka kero sasa. .
Nilisikiaga skendo kuwa kuna mtoto wa mshua mmoja alikamatwa china kwa tuhuma za ngada so ili aachiwe inadaiwa tukaambiwa tupanue mapaja nacndo hivyo wanaingia tu
 
Juzi si wametoa milioni mia kwenye tetemeko la ardhi, unafikiri itarudije.?
 
Mbona Uchina kuna waswahili wanafanya ujanja ujanja na umachinga kama Wachina wanavyo fanya hapa kwetu, kuhusu Wachina kuwapiga waswahili sisi ndiyo wa kulahumiwa - mtu na akili zako timamu unawezaje kunyanyaswa na wageni kwenye Nchi yako, hata kama huna nguvu ya kupigana nao kwa nini ushindwe kukusanya wenzako wakakusaidia kuwapa Wachina fundisho!! Wachina wakijua Watanzania wana umoja linapo kuja suala la kupigwa hovyo awawezi kuwa na jeuri ya kuwachokoza/piga Watanzania?
Mkuu naona unajaribu kuziba tundu la panya kwa mkate. Hawa wachina wako billion moja, tukisema sisi pia tunafanya kazi huko muda si mrefu Tanzania itakua mkoa ndani ya China. Wakija hapa walau million 18 watanzania tutaonekana?

Hawa jamaa wafuatiliwe sana, lakini pia wachunguzwe kwenye shughuli zao, inauma kuona hawa jamaa wanakuja kuharibu rasilimali zetu..
Hawa jamaa wanachinja punda, hawa jamaa wana kesi za tembo, hawa jamaa wanatengeneza bidhaa feki kupitia majina ya kampuni zetu (rejea wale waliokamatwa wanatengeneza maji ya Kilimanjaro).

Hatuwakatai wachina, lakini wafuate sheria na waheshimu rasilimali zetu.
 
Back
Top Bottom