Nani yuko macho tupige stori?

naona nitafute mouth mask na air freshner nikae navyo karibu maana hali ya hewa itachafuka muda si mrefu!!

hiyo harufu ukipuliza air freshner utapata mchanganyiko mmoja matata sana...
 
ngoja nisikilize ila kichwa hiki kilvyo kizito mmhh....
kulikuwa na kitoto kimebeba mfuko si kikaanza kukimbizwa na kuku...yaani group la kuku kama ishirini lamkimbiza...kila aendako anao analia mtoto kapata wazim maskini...basi akaudondosha ule mfuko kumbe ulikuwa na chakula cha kuku acha kuku wauvamie!!!!
 
Alafu saivi rahaaa tuko wenyewe tu....mie ushungi naweka pembeni kwanza....leteni umbea sasa;);););)
 
kulikuwa na kitoto kimebeba mfuko si kikaanza kukimbizwa na kuku...yaani group la kuku kama ishirini lamkimbiza...kila aendako anao analia mtoto kapata wazim maskini...basi akaudondosha ule mfuko kumbe ulikuwa na chakula cha kuku acha kuku wauvamie!!!!

mweee jamani sio vizuri khaaa!
 
Hawa madume ndo wametukimbia hivoo...ngoja tujiachie mijike kwa raha zetu.
 
Ujue jamii forum ingekua na kitu kama messenger hivi ambapo waliopo online wanaweza chat privately one to one. Ingeweza kuitwa Jamii messenger. Ni mawazo yangu tu wanajamii
 
Back
Top Bottom